Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala mazima ) wakawa Wanazitumbua tu watakavyo na Mjomba Mtu Mmoja wa zinakotunzwa.
Hiki cheo cha makumu wa raisi kingefutwa tu pamoja na manaibu waziri(wabaki mawaziri na maktibu wakuu), na wakuu wa wilaya ( hawa nao wafutwe wabaki watendaji na madiwani) kingine viti maalum kupunguzwa viti maalum vibaki 2 tu..( walemavu na wanawake)
 
Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala mazima ) wakawa Wanazitumbua tu watakavyo na Mjomba Mtu Mmoja wa zinakotunzwa.
Si bora VP wa Sasa anakumbukwa .
 
Labda basi hiyo nafasi ya umakamu wangepewa chama kikuu cha upinzani kwa uchaguzi husika( chama kilichpata kura nyingi za kuwania kiti cha uraisi).
Walau angekua hata anajitutumua lakini huyu akijifanya kufanya mengi itaonekana kama anamchafua/anampinga/anashindana raisi wake ambae pia ni mwenyekit wa chama chake.
 
Makamu wa rais ni kama back up kusubiri rais afariki..hawanaga kazi wale.

Nakumbuka bilali alikua kazi yake kukata utepe tu kila siku..nahisi hadi alikua na mkasi maalumu kwa kazi hiyo.

Anyway nimoja kati ya nafasi ambazo zilipaswa ziondolewe kabisa.

#MaendeleoHayanaChama

haa

Makumu rais alivyo teuliwa alitoa hotuba amabyo kidgo ilileta ukakasi namnukuu "mkafanye kazi za wannanchi vzr na msipotekeleza majukumu yenu nitawashughulikia na tutakuwa wakali mno alikuwa anawambia mawazir sas ukiangali hotuba hyo Ni kama alikuwa Yuko juu ya rais tokea kipindi hcho sijasikia Tena akiongeaa hvyo nadhani alipigwa biti kuwa wee Ni makamu tu huna mamlaka ya kuteu na kutengua

Bas namuona tu anaotesha miti

Zabayanga Aliongea Akiwa Hajui Eneo Lake

Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala mazima ) wakawa Wanazitumbua tu watakavyo na Mjomba Mtu Mmoja wa zinakotunzwa.
Ninadhani ni maamuzi binafsi ya mtu mwenyewe akiamua kuinua mapembe maagizo yake yatatekelezwa
 
Back
Top Bottom