Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Na hili suala linafaidisha sana michepuko,yaani mchumba au mke anaweza akajifanya boya ndani,ila nje anakiwasha kinomanoma.
yeah na tatizo huwa ni nyinyi,. huwezi ambiwa kitu ukakubali bila kuulizwa umejifunza wapi?🙄😒
 
Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?

Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
SGR style
 
Duh! sgr tena? ifahamike kuwa mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume, jitahidi hata kama unajua kuliko mwanaume basi usionyeshe haraka kuwa wewe ni fundi kumzidi nenda taratibu
kila mtu na kazi yake, huko kujua kuliko mwanaume ndio kupoje mkuu?
 
Back
Top Bottom