Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Shaas

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
478
Reaction score
1,117
Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?

Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
 
Duh! sgr tena? ifahamike kuwa mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume, jitahidi hata kama unajua kuliko mwanaume basi usionyeshe haraka kuwa wewe ni fundi kumzidi nenda taratibu
Mpenzi wako mna miaka mitatu mnajuana uzuri tu na wewe unatakiwa kuinjoy sio yeye tu
 
Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?

Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
Ndo ipi hiyo sgr ya SHETANI la kike au yako
 
sema ukweli? ukajifunza mwenyewe bila kumhusisha? halafu unataka akuone Maria mtakatifu mama wa Mungu?

Katika kujifunza kwako ungemhusisha...kwa mfano bebi hivi ushawah sikia style inaitwa sgr? akikataa mtumie link heb angalia hiyo, heb jifunze tujaribu
Hamna jema ninyi
 
Back
Top Bottom