Shaas
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 478
- 1,117
- Thread starter
- #21
Asije jaribu anakoseaje njia macho yake yako wapi ata kipofu hajawai kosea njiaKama haukumuonyesha wakat mnaanza usijaribu vitu vipya ukiwa naye bila yeye kujua.
Nikuulize swali la kizushi, umekaa na mpenzi wako kwa hiyo miaka 3 hajawahi wala hata kujifanya amekosea njia, siku ya siku anataka kwa mpalange, wewe utafikiria nini?