Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?

Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
Nadhani lengo lako ili litimie, fafanua hiyo style ya sgr hapa ili washamba tupungue.
 
Lazima umuelewe mpenzi wako, ni mtu wa namna gani, inakuwa rahisi sana, usipomuelewa changamoto

kuna siku waifu kaniuliza baba hivi unaifahamu popo kanyea mbingu, nikashtuka ndio nini hicho akanitumia link hebu angalia mwenyewe, ninaangalia nikamwambia mama style zingine ni za maonyesho sio za kupata utamu
Ukujaribu
 
Kama ni mume wako au mtu mnayetarajia kuishi pamoja nadhani sio sawa ukiwa mjuaji kupitiliza ,.

Ila kwa wengine unaweza tu ukafanya chochote unachokipenda
Na hili suala linafaidisha sana michepuko,yaani mchumba au mke anaweza akajifanya boya ndani,ila nje anakiwasha kinomanoma.
 
Na hili suala linafaidisha sana michepuko,yaani mchumba au mke anaweza akajifanya boya ndani,ila nje anakiwasha kinomanoma.
Hahaha sasa uboya ndani una linda ndoa nje hakuna cha kupoteza
 
Kama ni mume wako au mtu mnayetarajia kuishi pamoja nadhani sio sawa ukiwa mjuaji kupitiliza ,.

Ila kwa wengine unaweza tu ukafanya chochote unachokipenda
Sasa jirani km huwezi kumfanyia umpendaye si ndo mwanzo wa kuchepuka ili ukatafute wa kumfanyia nje.!! 😹😹😹

Ila ndoa nazo ngumu sana’aa
 
Lazima umuelewe mpenzi wako, ni mtu wa namna gani, inakuwa rahisi sana, usipomuelewa changamoto

kuna siku waifu kaniuliza baba hivi unaifahamu popo kanyea mbingu, nikashtuka ndio nini hicho akanitumia link hebu angalia mwenyewe, ninaangalia nikamwambia mama style zingine ni za maonyesho sio za kupata utamu
hahah hiyo ndio shida sasa,. inabidi ungemwabia sawa mama nitakuja tuijaribu halafu mwenyewe ndio angejua kama ya maonyesho au ya kupigwa kila siku😁😁
 
Back
Top Bottom