secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,616
- 50,124
Anaposema, (I) anamaanisha nini 😹.We unaonaje? 😹
Anaposema, (I) anamaanisha nini 😹.We unaonaje? 😹
Kwa nchi ipi na raia wapi hao? Labda kwenye keyboardWeeehh.!! Tutapata katiba mpya kweli? 😹😹
Umetwangwa na wanaume wangapi hadi ukafikia conclusion kuwa wanaume wakifundishwa stle na mwanamke huwa wanamchukulia huyo mwanamke kuwa malaya?Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?
Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
Kwa hivo akae ndio ndani ya ndoa bila ya kusex kwa style anayoipenda na atafute mwengine wa nje ndio akafanye style anayoipenda? Kuna kosa gani kumuongoza mumewe kumfanya vile anavyoe enjoy?Kama ni mume wako au mtu mnayetarajia kuishi pamoja nadhani sio sawa ukiwa mjuaji kupitiliza ,.
Ila kwa wengine unaweza tu ukafanya chochote unachokipenda