Kwanini korodani za wanaume huwa hazitakati?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
1,820
2,000
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
acha uchafu wewe hujui zinaoshwaji hizo,
 
Mr. Miela

JF-Expert Member
Aug 2, 2007
594
500
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Unataka ziwe nyeupe kama usoeee
 
young solicitor

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
951
1,000
Baada ya kuoga vizuri paka chumvi yenye unyevunyevu, chumvi hii pia husaidia kuzuia harufu inayotokana na jasho katika sehemu zetu nyeti na hakuna haja ya kupulizia manukato ya kemikali. Utabaki kuwa fresh kwa masaa 24 na maambukizo ya Ngozi utakaa nayo mbali.
swadakta kabisa pia pilipili ya unga inasaidia
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,474
2,000
si kweli zinatakata kabisa,jambo la msingi ni kujilinda usipate fungus maana zinatengeneza aina ya ukurutu ambao ukiwa sigu inakuwa kama magamba ya nyoka
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,587
2,000
Dada umetembea na wanaume wangap wenye ugonjwa huo? Nawe utakuwa mchafu sana. Mbona wanaume sisi ambao hadi korodani zetu zinanyonywa tupo.

Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom