Kwanini korodani za wanaume huwa hazitakati?

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
36,679
2,000
Mhh acha uongo ..Wewe itakuwa huwa haupaki lotion wala mafuta ..ndio maana zinakuwa na ukoko ...au kama wewe ni ke basi bahasha wako itakuwa hafanyi hayo niliyokueleza muambie mtu wako awe ana jitahidi kujifuta maji kwa taulo katika mapumbu yake baada ya kutoka kuoga kisha apake mafuta au lotion aepuke kuvaa boxer iliyoloana atafaulu kuepuka hiyo adha

kwa na mna moja au nyingine tunaweza kusema kuwa jamaa yako ni mchafu
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
 
Perimeter

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,189
2,000
Tangu uote mavuzi hujawahi fanya hata scrub mapumbu unategemea nini? pambana na hali yako Muraaaaa...JIKI zimejaa kibao unaweza ukaziloweka then ukiamka unazifua..zispotakata utakua na matatizo ya kulogwa maana sio kawaida.
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
3,542
2,000
[
mkuu mbona unatoa siri za vyumbu kwa hadhira ya kike,ndio watapata point ya kututusi humu jamvini
 
Smart_dady

Member
Aug 7, 2019
90
125
Izo ni za kwako
Sema tu uzisafishagi vizuri

Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?
Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
98,610
2,000
😂😂😂😂😂😂za kwako tu wahi kwa doctor.

Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
 
Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
1,386
2,000
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Chukua asali changanya na unga wa tangawisi unapakaa inaicha masa kadhaa hayo magamba yote yatatoka
 
Top Bottom