Kwanini korodani za wanaume huwa hazitakati?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,212
Reaction score
12,530
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
 
Mmmmmh mbona hiyo kitu ni mpya.. au labda ni ugonjwa wa ngozi..
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Huo ni ugonjwa, jaribu kutumia sabuni ya Unga na brush ya kuchania nywele. Uo uchafu utaisha kabisa.
 
Kwanini korodani hata uoge vipi uchafu uko palepale yaani ukokoukoko ambao ukijikausha tu na taulo ukabaki unyevu ukasugua unapata mabujebuje ya uchafu?

Wadau nipeni jibu KWANINI korodani huwa hazitakati?
Una transmitted sexual deases (STD) ww kamuone dr
 
Hiyo upande wako na wengine wasio oga kwa makini pole mkuu muone dr. Haraka
 
Baada ya kuoga vizuri paka chumvi yenye unyevunyevu, chumvi hii pia husaidia kuzuia harufu inayotokana na jasho katika sehemu zetu nyeti na hakuna haja ya kupulizia manukato ya kemikali. Utabaki kuwa fresh kwa masaa 24 na maambukizo ya Ngozi utakaa nayo mbali.
 
Back
Top Bottom