Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

jamani hadi huko ndo niini mbona uachi kitu wewe

umerudi mama?

karibu sana bana, chukua zawadi hii kwanza ndo ukae!!

1477824_595096363876730_748807484_n.jpg
 
Mwanaume wa hivo utamngoja mpk uwe bibi kizee, kwanza siku hizi bikra sio issue watu hawataki usumbufu, wewe sasa hivi una 22 huoni uzee ndio ushaanza kukunyemelea! Kawe sista uitunze vizuri ije igeuke madini ya thamani uwe tajiri

mmh maneno yote what for.. May be hujanielewa hao walio fanya hivyo walipata nini
 
Ukweli mungu tusaidie sisi wanaume coz tumekuwa TOMASO mpaka tuone bk ndo tuamian...

Nawasilisha........
 
Hongera Ila ni ngumu kuwaepuka HAWA maana wana mbinu kila kunapokucha.... nirijaribu hivyoo mwisho nilishindwa..... anaweza akaja kwa njia nataka nikuoe mpaka kwenu akawa anakuja na akatoa na mahari pia hapo ukamwamini ukajua huyu ndie uliyekuwa unamtafuta ukampa na kakuacha njiapanda na mahari katoa....
 
Mi nakushauri usiibane sana tafuta m2 mzima ka miaka 50 hivi wakati unasubiria muoaji.hiyo itakusaidia kujiamini na jamaa kufika bei kirahisi.
 
Kumbe bado uko 22 ni haki yako kuringa lakini naamini ukifika above25, utawavulia tu, waulize mabinti wenzio ambao walikuwa wakiringa kama wewe hafu wakueleze uzoefu wao pindi umri ulipokuwa unakuwa mkubwa. Siku hizi ni digitali zaidi tunda linaonjwa kwanza, ndo unalitunza.

Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
 
Jamani mbona kumchokonoa mwenzio hivyo
haha haha Miss Chagga.... Wajua kuna Dada mmoja tulifanya naye kazi miaka flan aliniambia bikra yake yeye ilitoka alipokuwa anacheza Netball shuleni....

Wajua miss chagga sikuhizi Msichana akisema yeye ni Bikra kila mtu lazima astuke... maana imefikia hata watoto wachanga wanazaliwa Bikra ishatoka lol sasa huyu ana 22years old!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe hv unafikiri ni mwanaume gani atakubar kuchukua bidhaa bila kutest?Akikuta engene mbovu itakuwaje?
 
Wewe hv unafikiri ni mwanaume gani atakubar kuchukua bidhaa bila kutest?Akikuta engene mbovu itakuwaje?

tupo wanaume tunaochukuwa bila kutest bwana wewe.....au umeshazoea malaya wanaotoa papuchi ovyo
 
Nakushauri uendelee kujitunza, pia usipokee vijizawadi kutoka kwao kwani ukipokea ipo siku utatakiwa kulipa fadhila. There is no Free Lunch from Men
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Wala ni umewakuta wapenda ngono c wote wana like kudu mapenz before married Wakat
walikubaliana na wapenz wao
 
Back
Top Bottom