Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.

Atabana ataachia tu,hapo watu wa kujifunzia ka mchezo lazima wapite tu
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Unataka kutuaminisha we bikra?
 
Maisha yamebadilika mama... wakati ni ukuta ukipigana nao utaumia.
Pengine hujakutana na unayempenda kwa dhati but siku ukikutana nae usijiwekee vizingiti...

Muongo tu huyo hana lolote anataka kuibia watu
 
Ukikibana kitaliwa na nyenyere....

"Nlikuwepo":bolt:
 
[QUOT gud gal....stay single nd dont give any man ur cookie before marriage...trust me nothing gud has ever come out of premarital sex. na hiyo mambo ya kusema eti hamna kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni the inane way of justifying the evil ways.
it is a virtue being a virteous lady...keep it up!![/QUOTE]

wow! that's the truth! bt every thng is pocbo under God presence . u can make it my dr. I also with my 26 am still virgin, and i believe God will help and protect me till i get married . just knw that its a gift to God in this marriage vocation. May God be with us. Remember to use your common sense yl dealing with friends of opposite sex. Respect them and God will give u ur man!
 
Chakufanya mdogo wangu unapoingia kwenye relationship weka terms kabisa mwanzano. Ili kusiwe na huo unaoita usumbufu japo me naita nature.

Ukute kwenye mahusiano unakubali romance, phone sex ...ila unabana tu mtu asiingie hapo kati! Hyo ni mbaya na unakuwa unamuharibu mwenzio. Kama ni no sex kataa na hayo mengne like french kiss na vichocheo vyovyote vya kingono!

By the way mahusiano unayotaka ina maana huyo mwanaume atakuwa amekosa dada na cousin wake kwa ajili ya stori hadi aku adopt ww muishi like that?
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Hiyo bana uwezavyo lakini utaachia tu...

Kama hutaki kumpa basi hata huduma akikupa kataa....

Mimi nipo tayari kuwa na wewe tendo la Ndoa hadi tuje kuoana ila pesa zangu natumia mwenyewe na wewe utumia zako tukija oana ndio tunashare sawa!
 
Chakufanya mdogo wangu unapoingia kwenye relationship weka terms kabisa mwanzano. Ili kusiwe na huo unaoita usumbufu japo me naita nature.

Ukute kwenye mahusiano unakubali romance, phone sex ...ila unabana tu mtu asiingie hapo kati! Hyo ni mbaya na unakuwa unamuharibu mwenzio. Kama ni no sex kataa na hayo mengne like french kiss na vichocheo vyovyote vya kingono!

By the way mahusiano unayotaka ina maana huyo mwanaume atakuwa amekosa dada na cousin wake kwa ajili ya stori hadi aku adopt ww muishi like that?

hahaha wacha mdanganya wemzio bwana...dada ana msimamo alafu wewe nani kakwambia french kiss lazima ugegede...ndio nyie mkipata busu tuu dushelele limesimama kaa la punda.
dada anafanya vyema kabisa kubania k yake mpaka aolewe..... nyie mmezoea malaya hao wanaogawa papuchi kama peremende. here is a lady and instead of supporting her eti mnamchamba
 
[QUOT gud gal....stay single nd dont give any man ur cookie before marriage...trust me nothing gud has ever come out of premarital sex. na hiyo mambo ya kusema eti hamna kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni the inane way of justifying the evil ways.
it is a virtue being a virteous lady...keep it up!!

wow! that's the truth! bt every thng is pocbo under God presence . u can make it my dr. I also with my 26 am still virgin, and i believe God will help and protect me till i get married . just knw that its a gift to God in this marriage vocation. May God be with us. Remember to use your common sense yl dealing with friends of opposite sex. Respect them and God will give u ur man![/QUOTE]

well said...nyie ndio wanawke wakuoa!!! ur patience will be rewarded
 
hii ni photoshop kabisa!! yani kila mwanaume atake kulala na wewe??

mmh.. mi ngoja niendelee kunyonya maziwa tu!!
 
Ngoja tuone ka utamaliza huu mwaka mzima, kwa comment za JF mbona utakua curious tu kujaribu
WARNING! Ukiingia unahitaji nguvu ya ziada kutoka hasa kwa wale wa mara ya kwanza kwanza

Me hizo comment hazi nishawishi... I choose what is write for me
 
Back
Top Bottom