Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Hongera kama umeweza kuitunza bikira yakop mpaka sasa
 
Aisee, atajuaje kama ameingia kwenye serious relationship na sio kugegedwa tu
Hongera kama umejiweka
pembeni,ila now days hiyo haikwepeki hata ukiingia kwenye serious
relation utatoa tu maana hakuna anayependa kuuziwa mbuzi kwenye
gunia
 
Hujampata unayempenda wewe, utamtafuta hata usiku wa manane afanye mambo. Usisikilize hadithi za nyanya yako zimepitwa na wakati!
 
Utabanaa na inaonyesha siku ukiruhusu kabla ya ndoa utakuja kuwa commandoo wa kugawa.
 
Nakushauri uendelee kujitunza, pia usipokee vijizawadi kutoka kwao kwani ukipokea ipo siku utatakiwa kulipa fadhila. There is no Free Lunch from Men
Thanks sina mtindo wa kupokea vya watu apart from my family
 
What do you want me to do ili kuprove
Dr. MziziMkavu akupime na ikithibitishwa na mimi nakutongoza ila tuta do after Marriage

Sitasahau kukutana na Msichana Bikra maana ilikuwa kama ugomvi hadi nilipofanikiwa na wewe usije leta purukushani baada ya Ndoa
 
Last edited by a moderator:
kabisaaaa...yaani mie mwanamke nikimgegeda basi siwezi muoa. mwanamke nayataka kumuoa sitamgegeda kabisa.

Usijekuja jutua hilo Bora ukosee kuchagua vyote kuliko kukosea kuchagua mke
 
Omba mungu utapata ila ukigawa basi jua mzinifu huolewa na mzinifu mwenzie. Kama kweli wewe hujajihusisha bora kaa hivyo hivyo na atakayetaka kukuoa hata cku moja usikubali kumtembea kwake kuwa na msimamo ndo dawa kwa mwanaume. Bila hivyo utaishia kuchelezewa tu na wanaume maana hata mwanaume malaya/mwenye kuzin sana na watoto wa watu bado akitaka kuoa ataoa aliyetulia hataki malaya mwenzie! Na ukijaribu tu usitegemee kutoka katika mchezo huo wa kuzin!
Ushauri tunza usichana wako hadi utapoolewa mpaka ndoa ifungwe na hata akija kukutema baadaye basi ni mipango ya mungu. Na hata siku moja usikubali kwenda kinyume na ushauri maana mwanamke moja ya vitu atavyovikumbuka mpaka kufa kwake ni mtu alomtoa usichana wake/bikira yake na wanaume watakao mpitia hatawakumbuka wote isipokuwa atakaye zaa naye mara ya kwanza. Bora uweke kumbukumbu na utakayeishi naye kuliko kumwona yuko na mwingine huku moyon mwako kumbukumbu halitoki!
Omba mungu hakutupi au hakuachi kamwe na fanya sala nyingi sana za maombi mara utakapoamua kuolewa na usikubali kwenda kuombewa omba mwenyewe maana ukitaka kuombewa atataka kujua tatizo na wewe utamweleza na akiingiwa na tamaa anakuatamia yeye kwa kuwa anajua nin faida ya kuwa na mtu wa aina yako! Maana huenda awe mchungaji/shehe au kiongozi yeyote wa iman hajawi kuona hiyo bikira yenyewe ikoje maana huenda mke alokuwa naye tayari alikuta alishaanza mchezo zamani. Muombe mola wako mwenyewe usikabidhi maombi yako kwa mafisi na chui waliovaa mavazi ya kondoo aliyempole!
 
Nimehama timu niliyokuwa nachezea nahamia kwako. Kweli mwanaume mzinifu hamfuati mwanamke mzinifu kumuoa. Maneno kuntu haya
 
hii ni photoshop kabisa!! yani kila mwanaume atake kulala na wewe??

mmh.. mi ngoja niendelee kunyonya maziwa tu!!

labda wanaume wakwao ....maziwa gani wanyonya Excel....?
 
Last edited by a moderator:
Hongera Ila ni ngumu kuwaepuka HAWA maana wana mbinu kila kunapokucha.... nirijaribu hivyoo mwisho nilishindwa..... anaweza akaja kwa njia nataka nikuoe mpaka kwenu akawa anakuja na akatoa na mahari pia hapo ukamwamini ukajua huyu ndie uliyekuwa unamtafuta ukampa na kakuacha njiapanda na mahari katoa....

hahahahaha,,,,,,,onja onja hao,,,,umesema kweli ww
 
Fanya hiv mrembo, whenever u enter into nu relationship .weka hizo standing zako mapema,ziwe open na known. Ili kama jamaa can take it then u go if he cant take it achape lapa.though wengi huwa tunakubal kuwa tutavumilia then baada ya muda yanatengenezwa mazingira had wewe mwenyewe unaomba game.

Ila kama upo serious hautak sex before marriage then ushaur mzur ni kukaa single had muda huo unaoona ni sawa kwako kuingia ktk ndoa.

Otherwise utafail.
 
Back
Top Bottom