Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

We jamaa una akili robo ya binadamu wa kawaida, kwenye ubungo wako hauna conciseness area maana ideas zako kichwani mwako hazichujwi kabla ya kutolewa nje..[emoji15] [emoji15]

Maana unawaza kama watu wa zama za mawe za kati aisei..! Kuna watu ni ccm ila tunajua nyekundu na nyeupe[emoji41] shame on you..

Bora mie kuliko wewe unae endeshwa NA akili za Viroba
Kila jambo kufuata mkumbo
Hoja zakipumbavu kwenu ndio ujanja

Pole sana
 
Nilisema Tundu Lissu sio size ya hawa majamaa wa utawala.
Lissu ni zaidi ya viboko.
Lissu habatishi sheria ameweka sheria kichwani na kuweza kuziimba kama wimbo wa Taifa.

[emoji28][emoji28][emoji28], Magu ajiandae tu kisaikolojia juu ya hatua anazozichukua dhidi ya upinzani na Watanzania wote.

Freedom is coming tomorrow....
 
Naandika kwa nia nzuri tu,na kwa kuwa kila walaka unamlengwa basi huu ni kwa jeshi letu la POLISI. Naam, Duniani kote jeshi la polisi linakuwepo kisheria na hutenda kazi zake kwa mujibu wa sharia na kazi yake jeshi la polisi ni kusimamia sharia.

Sasa basi msingi wa walaka huu ni hapo pa kuanzia, SHERIA ikitokea mtu bila kujari wadhifa au madaraka yake akafanya matendo au kutoa matamshi kinyume na sharia ni jukumu la jeshi la polisi kuchukua hatua na pia ikitokea mtu kwa wadhifa wake au madaraka yake akatoa matamshi au kutenda matendo yaliyokinyume na sharia/sharia mama nini linakua jukumu la polisi?

Mh, Tundu Lissu amekuwa akikamatwa na jeshi la polisi kila anapotimiza wajibu wake kwa mjibu wa taratibu na sharia za nchii hii ambazo kila mtu anawajibika kuzifata amekamatwa na kuhojiwa tena kwa muda mrefu na wakati mwingine kufunguliwa mashtaka lakini pamoja na mashtaka hayo hakuna hata siku moja ametiwa hatiani na mahakama.

Tafsiri yake ni kwamba Mh, lissu anajua akifanyacho na jeshi la polisi yalipasa kuacha mchezo huu wa kupoteza muda kuhangaika na mambo ambayo sio tija kwa taifa.

Kama polisi wa makabulu South Africa hawakuibuka washindi dhidi ya Mpigania uhuru Nelson Mandela vivyo hivyo hakutakuwa na ushindi dhidi ya Mh Tundu lissu.

Tufanye kazi yetu kwa mujibu wa kanuni na tuwaache wengine akiwemo Tundu Lissu wafanye kazi zao ilimradi wanafuata sharia.

Asanteni
 
Hii ni aibu kwa serikali na vibaraka wake. Ni kama hawana cha kufanya.
 
Nadhani Tundu Lissu amekuwa mradi wa hawa mapolisi.

Kwani zoezi la kumkamata huko Singida na kumsafirisha mpaka Dsm si kuna watu wanalipwa kwa kazi hiyo?

Watu wanakula PESA za bure.
 
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
 
Naandika kwa nia nzuri tu,na kwa kuwa kila walaka unamlengwa basi huu ni kwa jeshi letu la POLISI. Naam, Duniani kote jeshi la polisi linakuwepo kisheria na hutenda kazi zake kwa mujibu wa sharia na kazi yake jeshi la polisi ni kusimamia sharia.

Sasa basi msingi wa walaka huu ni hapo pa kuanzia, SHERIA ikitokea mtu bila kujari wadhifa au madaraka yake akafanya matendo au kutoa matamshi kinyume na sharia ni jukumu la jeshi la polisi kuchukua hatua na pia ikitokea mtu kwa wadhifa wake au madaraka yake akatoa matamshi au kutenda matendo yaliyokinyume na sharia/sharia mama nini linakua jukumu la polisi?

Mh, Tundu Lissu amekuwa akikamatwa na jeshi la polisi kila anapotimiza wajibu wake kwa mjibu wa taratibu na sharia za nchii hii ambazo kila mtu anawajibika kuzifata amekamatwa na kuhojiwa tena kwa muda mrefu na wakati mwingine kufunguliwa mashtaka lakini pamoja na mashtaka hayo hakuna hata siku moja ametiwa hatiani na mahakama.

Tafsiri yake ni kwamba Mh, lissu anajua akifanyacho na jeshi la polisi yalipasa kuacha mchezo huu wa kupoteza muda kuhangaika na mambo ambayo sio tija kwa taifa.

Kama polisi wa makabulu South Africa hawakuibuka washindi dhidi ya Mpigania uhuru Nelson Mandela vivyo hivyo hakutakuwa na ushindi dhidi ya Mh Tundu lissu.

Tufanye kazi yetu kwa mujibu wa kanuni na tuwaache wengine akiwemo Tundu Lissu wafanye kazi zao ilimradi wanafuata sharia.

Asanteni
Huyu jamaa anaitwa Tundu au Tindu???
 
Nadhani Tundu Lissu amekuwa mradi wa hawa mapolisi.

Kwani zoezi la kumkamata huko Singida na kumsafirisha mpaka Dsm si kuna watu wanalipwa kwa kazi hiyo?

Watu wanakula PESA za bure.

Kufa kufaana. Sioni kosa la kuwahangaisha polisi na Lisu. Watu wanakula per diem sasa ni 120,000 manispaa kwa ngazi ya inspectors,
 
Nadhani Tundu Lissu amekuwa mradi wa hawa mapolisi.

Kwani zoezi la kumkamata huko Singida na kumsafirisha mpaka Dsm si kuna watu wanalipwa kwa kazi hiyo?

Watu wanakula PESA za bure.

Ni aibu tupu! leo nilikuwa central shughuli zote zilisimama kwa muda kisa Tundu yuko nijani analetwa central. Sasa hata wale ambao hawakusikia watasikia alichosema. Approach ya polisi inalikuza hilki jambo bila sababu ya msingi. Badala ya kushughulika na kina Kangi, Stanbic, Lugumi etc Wa ni Tundu tu
 
Back
Top Bottom