Kama lilivyo jina katika ID yako na ndio ulichoandika hapa, weka jina lako halisi na andikA ANDIKO moja tuone charisma yakoHuyu Mtatiro si ndiye aliyetiwa suna na yule mdada wa CDM Segerea ambaye yeye chama chake kimemteua ubunge? Hana political charisma, amebakiwa na mashairi tu