Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Siasa ni porojo na ndizo zinazowaweka madarakani kwa kutafuta popularity, sielewi inakuwaje mwanasiasa anapotishika na porojo za wapiga porojo wenzake
 
Wewe ndiye unayenionea wivu na uwezo wangu wa kufanya analysis ambao wewe huna lakini umekugusa sana
Poor you so your first comments was from the political analysis point of view?Okey if that the case now i know why we are here, tatizo Tanzania unaweza kujiita jina lolote
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe

Tunaomba cybercribe unit wanukuu andiko lako hili ili lissu akidhurika utueleze maana unajua kitakachomtokea
 
Hivi kumbe ukijua sheria akuna wakusumbua zaidi ya wao kupeteza mdaa tu shikamoo lissu
 
Fanya kama Mtatiro , tuone charisma yako otherwise unamuonea wivu na mwanaume unapomuonea wivu mwanaume mwenzio inatia shaka mkuu, sasa wewe umejuaje kama Mtatiro ana Charisma?Umefanya tafiti gani?

Mtatiro anatengeneza mazingira ya kuhamiaCDM MDA SI MREFU atiacha CUF na kuhamia huko ndo maana anatengeneza mazingira
 
Hakuna Tanzania ya viwanda au maendeleo kwa kasi bila uhuru wa watu kusema au kukosoa serikali maana nayo inaongozwa na watu na siyo malaika.
 
Chadema imemtoa sadaka Lissu. Na ninyi mnaomsifia pasipo haja wala sababu ndio mnaomsindikiza safsri yake ya mwisho. Siasa haziendi hivyo. Mkishuhudia mtakumbuka maneno haya siku si nyingi
Kwa hiyo mnapanga kumuua?
 
Mkiishiwa hamkosi lakusema
Hata pumba kwenu hoja
Hii ndio News mmeona!!!
Tafuteni habari zinazo msaidia mtanzania
Hata ingelikuwa ni Dk 15 kusmafirisha Mropokoji kutoka Kigoma to Dar
Yote sawa tu
Saga zima limemsaidieje mwananchi kwa mfano?
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
hahahahahahah......pole sana .....unadhani watu wanaogopa hizo rumande zenu
 
Mkiishiwa hamkosi lakusema
Hata pumba kwenu hoja
Hii ndio News mmeona!!!
Tafuteni habari zinazo msaidia mtanzania
Hata ingelikuwa ni Dk 15 kusmafirisha Mropokoji kutoka Kigoma to Dar
Yote sawa tu
We jamaa una akili robo ya binadamu wa kawaida, kwenye ubungo wako hauna conciseness area maana ideas zako kichwani mwako hazichujwi kabla ya kutolewa nje..[emoji15] [emoji15]

Maana unawaza kama watu wa zama za mawe za kati aisei..! Kuna watu ni ccm ila tunajua nyekundu na nyeupe[emoji41] shame on you..
 
Hivi virusi vya zika vimeanza lini? Usijekuta kuna connection
 
Dah UOTE="Lizaboni, post: 17081777, member: 138049"]Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe[/QUOTE]
Dah mkuu una hasira kweli! Angalia usijepata stroke, this is just politics, take it easy kutiwa hatiani ni mpaka uishawishi mahakama kwa hoja.
 
Back
Top Bottom