Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Na watamkamata mpaka lini maana kesi nyingi anazofunguliwa hazina mashiko kabisa Tanzania demokrasia bado ni vile tu mashinikizo kutoka nje.Ila kila mwanzo una mwisho aidha mzuri au mbaya pia yupo msemaji wa mwisho ambae ni mungu muweza yote .
yaani juzi juzi tu katoka kukamatwa na kesi kashinda na leo anakamatwa tena kesho anashinda kesi daah! napata shaka na maafisa polisi
 
Kwasababu anapambana na wanasheria v.ilaza.
1470252100108.jpg
 
Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Ni kwa sababu kesi hizo huwa hazina ushahidi wa kutosha; na tena zina msukumo wa kisiasa sana. Nafikiri ataendelea kushinda!
 
Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Mkuu hili swali lako limekaa kichochezi.

Unataka tujibu majibu ambayo kesho yake yatatugharimu.

Lakini ngoja nikujibu tu, Mfano mwanao kila swali unalompa afanye halafu anakosa huyo mtoto ni kilazer.

Hivyo wale wanaopewa kazi ya kumshtaki Lissu halafu wanashindwa kumtia hatiani kila siku sijui tuwaitaje?

Rejea mfano hapo juu.
 
Back
Top Bottom