kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,219
- 855
Tuwekee alivyomtukana.Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Tuwekee alivyomtukana.Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Kuna siku utasikia amefungwa Kabisa kama Mtikila wakati fulani!Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Tundu Lissu ni mwanasheria makini anayejitambua na anajua sheria kila mtanzania mzalendo anatakiwa kuungana mkono Tundu Lissu kwa kupinga udikteta kwenye nchi yetu
Unamtukana Rais wako kuwa ni mropokaji, ni kweli ana hako katabia lkn kuwa makini....Shauri yako utadakwa!!Mkiishiwa hamkosi lakusema
Hata pumba kwenu hoja
Hii ndio News mmeona!!!
Tafuteni habari zinazo msaidia mtanzania
Hata ingelikuwa ni Dk 15 kusmafirisha Mropokoji kutoka Kigoma to Dar
Yote sawa tu
Wewe ulikuwa Mirembe ulimfanyia booking ya kitanda?Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Sema mfungua geti la LumbumbaRais wetu hajaribiwi. Lazima waisome namba
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
Wewe ni kati ya Wanasheria hapa nchini? If Yes, you are defaming the University which you went. If No, then shut up, You've no Moral Authority to speak about Lawyers! Shut up!husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
Naandika kwa nia nzuri tu,na kwa kuwa kila walaka unamlengwa basi huu ni kwa jeshi letu la POLISI. Naam, Duniani kote jeshi la polisi linakuwepo kisheria na hutenda kazi zake kwa mujibu wa sharia na kazi yake jeshi la polisi ni kusimamia sharia.
Sasa basi msingi wa walaka huu ni hapo pa kuanzia, SHERIA ikitokea mtu bila kujari wadhifa au madaraka yake akafanya matendo au kutoa matamshi kinyume na sharia ni jukumu la jeshi la polisi kuchukua hatua na pia ikitokea mtu kwa wadhifa wake au madaraka yake akatoa matamshi au kutenda matendo yaliyokinyume na sharia/sharia mama nini linakua jukumu la polisi?
Mh, Tundu Lissu amekuwa akikamatwa na jeshi la polisi kila anapotimiza wajibu wake kwa mjibu wa taratibu na sharia za nchii hii ambazo kila mtu anawajibika kuzifata amekamatwa na kuhojiwa tena kwa muda mrefu na wakati mwingine kufunguliwa mashtaka lakini pamoja na mashtaka hayo hakuna hata siku moja ametiwa hatiani na mahakama.
Tafsiri yake ni kwamba Mh, lissu anajua akifanyacho na jeshi la polisi yalipasa kuacha mchezo huu wa kupoteza muda kuhangaika na mambo ambayo sio tija kwa taifa.
Kama polisi wa makabulu South Africa hawakuibuka washindi dhidi ya Mpigania uhuru Nelson Mandela vivyo hivyo hakutakuwa na ushindi dhidi ya Mh Tundu lissu.
Tufanye kazi yetu kwa mujibu wa kanuni na tuwaache wengine akiwemo Tundu Lissu wafanye kazi zao ilimradi wanafuata sharia.
Asanteni
Wanaosigina katiba kibabe je?husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
It is very true.Katiba na sheria za nchi ziheshimiwe, hatutaki mtu aliyeapa kuilinda katiba halafu anaionea haya kuitetea, mtu huyo hatufai
Wewe labda unajua kisa cha kukamatwa, mh emb tuambie manake kwa jinsi ulivokazanahusipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.