Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Hapa nchini watu mnaojidai wanasheria ndo mnamaisha magumu kuliko kawaida leo unatishia watu na kiingereza chako cha kuungaunga kisa mwanasheria ! Nyi ndo walewale hamtaki kuambiwa ukweli ! Tundu lissu ni mkweli ndo maana hamumkubali !!
 
Nawaza tu jamani wala msilitie maanani. Hivi yule Baba wa taifa, mbona hakutiwa hatiani aliposema; Akitokea rais tuliyemchagua anaamua kuisigina katiba aliyoapa kwayo, Huyo rais HATUFAI.
Jamani, mbona huu ni uchochezi wa wazi wazi?? Lakini akapeta tu na watu wakampigia makofi. Leo, mbona mnakufa na Lissu kwa matamshi ya kitoto tu? Msimpe sifa Lissu jamani.

sijaona Lissu wa kusafirishwa usiku usiku ka gaidi la kimataifa. Mtu hata ndevu hana!!! 2020 akisimama kugombea urais mbona hata ka asiseme watu watamuona mtetezi wao?? Acheni kumpunguzia heshima rais JPM jamani. Chaaa! Hata ka ni kujikomba mmezidi sasa naona tembo mmelitia maji
Anapunguziwa na nani? Yeye haoni haya yanayotokea akayakemea? Haya yote yana baraka zake! Wacha Tundu awachachafye na mwisho wa siku wanampandisha chati!!
 
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
Hivi wewe mwanasheria umetumia kiswahili cha nchi gani hapa?Maana nahisi sijaelewa
 
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
Hebu tuwekee hapa sheria iliyovunjwa na shujaa lissu .
 
Polisi jitaidin kufanya mambo kwa weledi Zaidi. Mambo mengine yanaweza yakawashusha ama yakawapandisha mbele ya wananchi.
 
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
Na, nahofia, mara hii kapita kichaka kilichojaa miba....lazima....lazima...lazima imchomechome!
 
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.

Huyo mnayemtetea anakejeliwa ndio bingwa wa kukejeli na kutumia cheo chake kama sehemu ya kufichia madhaifu yake. Ni nani asiyejua kwamba mkuu wetu ni bingwa wa lugha za kejeli? Au ukiwa na mamlaka kwako ni ruhusa kukejeli wengine? Usilotaka kutendewa na wewe usimtendee mwenzio.
 
Tulikubali kuwa na demokrasi ya vyama vingi, ni wajibu wetu kuliheshimu hili.
Kama hatuwezi kuheshimu hili tutangaze kuwa nchi ya chama kimoja na tukubali kuwa hakuna upinzani. Lakini kama tumekubali kuwa na demokrasia ya vyama vingi tukubali kukosolewa kwani ndo kazi ya upinzani.
2. Tunaona mifano ya nchi nyingine marais wanakosolewa sometimes kwa lugha kali hiyo ndo maana ya demokrasia. Sasa hapa kwetu vyombo vya dola vinafanya kazi ya kufurahisha watawala badala ya kusimamia sheria hii ni hatari kwa usalama wa nchi tubadilike.
Hilo halina mjadala mkuu...lkn demokrasia yetu ni vema ieleweke ktk mazingira na tamaduni yetu...isiwe ya kuiga kiujumlajumla toka kwa wadau wenzetu wa upande wa "magharibi" tu...tuchukue na mazuri na yanayofaa kutoka demokrasia hata za uchina, iran, cuba, na hata ghuba ya uajemi....
 
Naandika kwa nia nzuri tu,na kwa kuwa kila walaka unamlengwa basi huu ni kwa jeshi letu la POLISI. Naam, Duniani kote jeshi la polisi linakuwepo kisheria na hutenda kazi zake kwa mujibu wa sharia na kazi yake jeshi la polisi ni kusimamia sharia.

Sasa basi msingi wa walaka huu ni hapo pa kuanzia, SHERIA ikitokea mtu bila kujari wadhifa au madaraka yake akafanya matendo au kutoa matamshi kinyume na sharia ni jukumu la jeshi la polisi kuchukua hatua na pia ikitokea mtu kwa wadhifa wake au madaraka yake akatoa matamshi au kutenda matendo yaliyokinyume na sharia/sharia mama nini linakua jukumu la polisi?

Mh, Tundu Lissu amekuwa akikamatwa na jeshi la polisi kila anapotimiza wajibu wake kwa mjibu wa taratibu na sharia za nchii hii ambazo kila mtu anawajibika kuzifata amekamatwa na kuhojiwa tena kwa muda mrefu na wakati mwingine kufunguliwa mashtaka lakini pamoja na mashtaka hayo hakuna hata siku moja ametiwa hatiani na mahakama.

Tafsiri yake ni kwamba Mh, lissu anajua akifanyacho na jeshi la polisi yalipasa kuacha mchezo huu wa kupoteza muda kuhangaika na mambo ambayo sio tija kwa taifa.

Kama polisi wa makabulu South Africa hawakuibuka washindi dhidi ya Mpigania uhuru Nelson Mandela vivyo hivyo hakutakuwa na ushindi dhidi ya Mh Tundu lissu.

Tufanye kazi yetu kwa mujibu wa kanuni na tuwaache wengine akiwemo Tundu Lissu wafanye kazi zao ilimradi wanafuata sharia.

Asanteni
La saba alipita kwa mbinde!!
 
Ni Bora Dr Slaa ashinde na kuwa Rais kuliko Tundu Lissu kushinda Ubunge

JK ~ 2010
 
husipotoshe umma, kuonesha kam lissu anaonewa ama kuna kikundi fulani cha watu kinaonewa. Hebu tuwe wazalendo mwanasheria ndo mtu wa kwanza duniani kufuata taratibu na kuzisimamia.
wanasheria uchwara kama lissu, wanatafuta sifa kwa kuvunja taratibu, kutoa maneno ya kejeli, kutoheshimu mamlaka zilizo juuu na badae kulalamika.
Mbona hakutwi na hatia? Au ndiyo kusema umetangulia kupotoshwa? Umeandika kwa kujiamini kitu ambacho hakina ukweli. ....umetangulia mno kupotoshwa
 
Kukamatwa na kushtakiwa,kusikie redioni na runingani na ukusome magazetini. Kukamatwa na polisi na kushtakiwa mahakamani usiombe kukutokee. Hakufurahishi.

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA,Tundu Lissu amekuwa akikamatwa na kushtakiwa mara kwa mara. Kwasasa, 'anamake headlines' na kauli zake za 'dikteta uchwara'. Anakamatwakamatwa na kushtakiwashtakiwa kweli kweli!

Kwanini haogopi? Au anapoteza attention ya watanzania ya ziara za Rais na utekelezaji wa HAPA KAZI TU? Kwa mwanasiasa mahiri na mthubutu kama Lissu kutakuwa na sababu. Kuna jambo ambalo linasikika kwa la mgambo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Anapunguziwa na nani? Yeye haoni haya yanayotokea akayakemea? Haya yote yana baraka zake! Wacha Tundu awachachafye na mwisho wa siku wanampandisha chati!!

Job K;
Nakuhakikishia kabisa kuwa JPM wala hana habari ya haya yanayotukia. Ni viherehere tu wanawakamata kina Lissu. Ati amri kutoka juu! Juu ni wapi?? Mbinguni aliko Mungu au??
Hapa ni mtu tu anatafuta kick. Labda kapewa kidogo kutoka kwa wabaya wake Lissu akaona asifwe njaa na haswa pesa za kuoshea viatu kama ni ndogo. Kwa mshahara huu wa mzee Magu, ile nyumba ya kijijini hatamalizia. Akipata nafwasi ka hii, itafikia lenta.
 
Kama hii kesi ambayo kakamatwa,hata mwanasheria mpya wa Cohort hii ya 21 ANAISHINDA SERIKALI!
Kesi haina kichwa wala miguu
Kesi ya kupangiwa cha kusema jukwaani
Sio tu Lissu bali mwana sheria yyt yule hapa TZ anashinda kesi hii saa 2 asubuhi
Upande wa Jamhuri utabidi uiambie Mahakama wapi kwenye Katiba Mtz anakatazwa kuikosoa serikali yake
Matter of fact,katiba inatuhimiza tuikosoe serikali

Magufuli anaongoza serikali ya hovyo hovyo kabisa
 
Acha uongo wewe. Mbona kesi ya kakaang Kafulila ilimshinda?+ kesi ya Wenje kule Mwanza. Yuko vizur kwenye sheria but sometime anaangukia pua especially akipambanishwa na TULIA
Hakuwa mwanasheria wa Wenje
 
Back
Top Bottom