Kuna askari amepandishwa cheo kwa kupiga picha na Lissu tu !Na ndio sababu Polisi wanapenda kukaa nae kwa sababu ni Mtu muhimu kwa sasa ,hasa enzi hii ya Mtukufu sana wa Inji..
MAJIBU YAKO HAKIKA YANAFANANA NA JINA LAKO. HONGERA SANAHata wewe ipo Siku yako utabambwa kwa njama zako na madhambi yako Dua zako ipo siku zitakurudia mwenyewe, ICC ikipamba moto hata hao watoa Amri toka juu watanyea ndoo Udikteta haujawahi kumwacha Dikteta salama.
Hivi kuna kesi gani lissu ameshinda? Au kupata dhamana nayo ni ushindi. Kesi zote za Kisiasa alizofunguliwa lissu bado zipo mahakamani zinaendelea. Nakukumbusha tena kesi hizi ni za Kisiasa siyo jinai ni sawa tu na kesi za mtu kugombana na mkewe nyumbani mahakama ni mara chache sana kumtia mtu hatiani . Mwambieni atakatishe fedha aone kama atachoropoka korokoroni pamoja na huo uanasheria wake.yaani juzi juzi tu katoka kukamatwa na kesi kashinda na leo anakamatwa tena kesho anashinda kesi daah! napata shaka na maafisa polisi
KESI IPI ALIYOSHINDA?Nijiuliza huyu Lissu anakamatwa kila siku na kesi anawashinda si bora wamuache tu kwakuwa anawazidi kwa kila kitu wafungua kesi dhidi yake
Yaani nyie nyumbu mnapima huyu mbwiga kwa hivi vikesi vya Kisiasa kama ni Mwanasheria na wakili mzuri mbona hatujawahi kumuona akipewa kesi kubwa au hata kushindaUTAFITI UNAONYESHA KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU TANGU MUNGU AUMBE MBINGU NA ARDHI .
Unaelewa maana ya utafiti ?Yaani nyie nyumbu mnapima huyu mbwiga kwa hivi vikesi vya Kisiasa kama ni Mwanasheria na wakili mzuri mbona hatujawahi kumuona akipewa kesi kubwa au hata kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app