Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Anayefahamu historia ya Tundulisu atuweke wazi kwani mambo anayofanya ni tofauti kabisa na taaluma yake au anatafuta kitu anachokijua. Huwezi kutukana mtu hadharani. There is a problem somewhere inabidi wataalam watusaidie kumchunguza
 
Naona mwanasheria uchwara, anavyoshabikiwa na maneno yake yakichwara na watu wachwarwa wachama chakichwara na bado tutawafundisha kaziiiiii..... hapa kazi tuuuuuuuuu...... bado kidogo tutawapa nitrous oxide mchekeeeee
 
We ni taaluma moja na Lissu? Kama ndio inabidi Urudishwe darasani tena kwa kunyang'anywa vyeti vyako vya kitaaluma. You must be Kanjanja!
 
Naona mwanasheria uchwara, anavyoshabikiwa na maneno yake yakichwara na watu wachwarwa wachama chakichwara na bado tutawafundisha kaziiiiii..... hapa kazi tuuuuuuuuu...... bado kidogo tutawapa nitrous oxide mchekeeeee
Wewe lazima wanakupumulia kisogoni. Huwezi kuwa mzima akilini ukaandika huu uharo!
 
Bora serikali iache kuwafuatilia watu kama Lissu.Kazi zifanyike kuliko kuhangaika na kesi zisizokuwa na faida.
 
Ila lile neno analopenda kulimalizia Lisu kwenye sentesi zake linakela jamani he he hebu fikiria yule mzee ndio mzee wako halafu anapachikwa lile jina
 
Tutaendelea kuupinga udikteta kwa nguvu zote bila kuogopa chochote
 
Kwa hiyo mnapanga kumuua?
Hapana. Sihusiki na wala hakuna mpango wa kuua mtu. Lissu ameamua kujiua mwenyewe. Wanasiasa wanaaswa kuacha akiba ya wanenayo. Anaelekea mwisho wa reli alikoishia Mrema, AL. Watakutana huko. Wala usishamgae. Tusubiri historia.
 
Mtu hujaribiwa na tamaa zake huku akivutwa na kudanganywa na tamaa huchukua mimba na kuzaa dhambi dhambi ikikomaa huzaa mauti.
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe

Lissu ndio serikali ya viwanda.... You know!
 
Hapana. Sihusiki na wala hakuna mpango wa kuua mtu. Lissu ameamua kujiua mwenyewe. Wanasiasa wanaaswa kuacha akiba ya wanenayo. Anaelekea mwisho wa reli alikoishia Mrema, AL. Watakutana huko. Wala usishamgae. Tusubiri historia.
Jidanganye! Muulize Mkapa na JK hawa watakuambia Lissu ni nani. Bahati mbaya sana mnashangilia mechi ya upande mmoja bila ya kuujua uwezo wa timu pinzani. Hizo kesi zitazidi kumuinua na kuwainua kina Lissu wengine maelfu kwa maelfu!
 
Rais wetu hajaribiwi. Lazimamwaisome namba
Asiyejaribiwa ni Mungu peke yake si kikaragosi chochote!!!

Huyo anayesema hajaribiwi mbona umasikini na maradhi yamemshinda? Imemshinda Muhimbili then ajitape hajaribiwi?
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe

Unaweza kuweka hayo matusi au ndio kujitoa ufahamu.
 
mtarudi tu,kukubaliana na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema kwamba,miaka hii mitano tutasikia mengi ya ajabu
 
Back
Top Bottom