Sharif
JF-Expert Member
- Mar 13, 2011
- 2,450
- 1,781
jibu ni kwamba haongei kwa kukurupuka..
anaongea kwa facts na kwa misingi ya kisheria..
IQ yake kubwa !!
akikwambia wewe ni UCHWARA anakupa na facts, nenda mahakamani sasa ukapinge kwa hoja kwamba wewe si uchwara kama IQ inaruhusu !
Lissu kwa IQ za hawa jamaa, labda watumie tu nguvu kumshinda, as usual !