Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

Chadema imemtoa sadaka Lissu. Na ninyi mnaomsifia pasipo haja wala sababu ndio mnaomsindikiza safsri yake ya mwisho. Siasa haziendi hivyo. Mkishuhudia mtakumbuka maneno haya siku si nyingi
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Rais wetu hajaribiwi. Lazimamwaisome namba
Matusi na kejeli zimezoeleka toka upande wenu, ila mtaisoma namba mliyoiandika wenyewe. Na wewe kama huyo "dikteta uchwara" ni mmeo mkanye ajifunze kuwa kuna katiba na sheria za nchi zinamhusu. Wa kwenda mirembe humjui? Basi subiri utaonyeshwa au atajionyesha.
 
Lissu anaonekana kama mwenye sarakasi za mwisho Kuelekea September Mosi.
Anyway anajaribu kutumia Public audiences kupima kama mbinu yake ya udikteta uchwara kama itasound.
Sarakasi hizi zitaendelea pale tu wenye dhamana watazembea kutafsiri maana ya "Dikteta Uchwara ".
Kinachoonekana hapa ni Lissu kutumia mhimili mwingine kufanya siasa, sidhani kama wenye mhimili huo wanafahamu au
wataendelea kutumiwa na wanasiasa wanasheria kutimiza matakwa yao ya kisiasa.
Mgoja tuone mwisho wake labda tu wastukiwe na kubadili gia angani.
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe

Nitajie tusi alilotukana tundu lissu
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Tupatie tasfiri ya neno matusi na tupe hayo matusi alotukanwa rais na Lissu nimesoma post zako nyingi wewe ni kindakindaki uliyejitoa ufahamu Period!
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Kati ya watanzania wapuuzi wewe unaongiza. Hakuna siku unapost kitu chamaana zaidi ya ulevi wa lumumba
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe

Kamtukana tusi gani???

Mi naona kama yuko sahihi 1000%

Aongeze spidi zaidi
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
Hebu subiri mkuu..hivi ng'ombe anachukuwa muda gani kupona mara baada ya kukatwa mkia??
 
Chadema imemtoa sadaka Lissu. Na ninyi mnaomsifia pasipo haja wala sababu ndio mnaomsindikiza safsri yake ya mwisho. Siasa haziendi hivyo. Mkishuhudia mtakumbuka maneno haya siku si nyingi

Wewe utabakia hivyo hivyo na mawazo yako yenye kila dalili ya kutawaliwa kifikra kumbe tz watu km wewe ndyo mnaifanya nchi yetu isisonge mbele
 
Mkiishiwa hamkosi lakusema
Hata pumba kwenu hoja
Hii ndio News mmeona!!!
Tafuteni habari zinazo msaidia mtanzania
Hata ingelikuwa ni Dk 15 kusmafirisha Mropokoji kutoka Kigoma to Dar
Yote sawa tu
Rais huyu anataka kuendesha inchi kivisasi visasi.. Na zaid kama tuko enzi za utumwa
 
Polisi wamekuwa kama watoto wadogo. Wamefanya nini sasa? Yaani mtu unamtoa singida anatoka kwa dhamani ya laki? Mbona lugumi wapo mtaani kamateni hao lissu atawaumbua mwaka huu.
 
Safari hii kama mnadhani kuwa Lissu atatoboa hakika mtalala na njaa. Huwezi kuendelea kumtukana Rais then ukabaki salama. Soon atarejeshwa mirembe
labda atumie ile ya
kumweka mtu kizuizini ambayo Mu-7 na Kagame rafiki yake wanaitumia. Dunia ya leo huwezi kutawaza kama zama za kina Mwalimu " Chama kimoja itikadi moja" na Lazima zidumu fikra sahihi...... " Hayo mbapo hayapo lazima kuna mawazo kinzani kwa hilo lazima utumie sheria na weredi ili utawale kwa amani.
 
Serikali inatumia saa 6 kumkamata na kumsafirisha Tundulissu from Singida to Dar. Polisi wanatumia saa 5 kujadiliana na kurushiana mpira nani amuhoji. Anayeteuliwa anatumia saa 6 kuhoji huku akitamani Lissu amdeseshe maswali. Serikali na Polisi wanatumia saa 3 kumfikisha mahakamani. Wanasheria wa Lissu wanatumia dakika 60 kuipangua kesi. "Mahakama inatoa dhamana ya Shs laki moja" (nawaza tu) na Lissu anarudi mtaani kupambana na "dikteta uchwara". Dikteta uchwara ananuna hadi anatamani kupasuka maana hajaribiwagi na sasa Tundulisu "anamjaribuga". @Hii ndiyo Tanzania ya Viwanda.

Mtatiro J
Umbea na uchochezi wa kijinga punguzeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom