Israel na usa wanashida na dini na ndio maana wanapromote secularism hawataki wao taifa la kikristo au la kiislam ni hatari kwa mfumo wa dunia walioutengeneza wao,wao wanaamini kwenye secularism japo toka mwanzo zama za soviet ukumunist ilikuwa ni shida kwao baadae muslim no 2,although chinese are budhist ila bado ni threat kwao kwa kuwa wanataka kujenga mfumo wa kureplace their ruled order yao.
Pakistani ni secular govt
Saudia ni monarchy govt
Iran islamic govt
Afghan islamic govt
Turkish secular govt
Vatican christian catholic administration.
Iran hakuna sehemu amesema anataka nuclear weapon hawajaamua ila wakiamua wanatengeneza na hakuna wa kumzuia .
Iran wanamaisha ya shida ni maskini hawana uhuru ndugu yangu wao kule wairan wana gdp kubwa kuliko South Africa na kuwa na world largest univercity na more than 60% ya univercity admission ni wanawake kama kula raha na uhuru ni mpaka kuwe na mabaa ya ulevi na wanawake kutembea uchi kwa kweli ni kweli hawana raha kwa kuwa hawana mabaa ya kwenda kunywa pombe.
Kwa hiyo.western values ndio msingi wa maisha bora ukiongea kiingereza we ndio unaishi maisha mazuri hii ni nadharia ya kipuuzi chinese are rich and yet hawana hio demokrasia na huo uhuru wa kimagharibi wa usa na bado wamestick to their culture na values maendeleo ni science na technologia ila sio hayo mengine ya demokrasia sijui uhuru wa kipuuzi na mfano mzuri ni china , mwisho kabisa Tehran kuna metro train africa nzima zipo pale south africa na egypt tu halafu bado unalinganisha aproach ulimwengu na neutrality sio kuwa na usa propaganda yaani wamemunagusha gadafi dikteta ila mfalme wa saudia sio dikteta kwani saudia kuna kupiga kura kuchagua mkuu wa nchi au huko UAE AU QATAR AU BAHRAIN walikosaini hio Abraham accord kuna uhuru kama iran wa kuchagua raisi wa nchi, karibu world geopolitics 101 lazima uwe na akili timamu kung'amua ya ulimwengu la sivyo utabeba propaganda na kuzifanya ukweli. Mwisho kabisa last election Iran ni mwaka jana tu ila huko kwingine kwa marafiki wa usa last election ni lini????