DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,895
- 3,064
unashangaa nini?IRAN na KOREA KASKAZINI ni axis of evil, kwa USA and alies
unashangaa nini?IRAN na KOREA KASKAZINI ni axis of evil, kwa USA and alies
Hiyo mentally unstable nani anaipima? Huwezi kuwa mpelelezi na hakimu kwa wakati mmoja.
Mleta mada tayari jibu ameshalipata.Panga ni silaha ya kawaida Sana ukikutana na mtu kaibeba, wala hutarudi nyuma kwa hofu.
Ila ukimwona kichaa kabeba anakuja usawa wako hata Kama Hana habari na wewe sidhani Kama utasubiri akukaribie!
Dawa ni kuhakikisha vichaa hawabebi mapanga hata Kama hawakati watu.
Nashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?Mkuu mentally unstable kwa taifa inapimwa kwa mambo mengi.....Israel imekuwepo hapo kama taifa 1948....Iran kama taifa imekuwepo muda mrefu! Umewahi kuona chochoko yoyote ya Iran huko nyuma? Hawa maimamu na Mullah walipochukuwa nchi 1979 wakawa kama wamepagwa ! Death to Israel! Death to America...Death to Western civlization! Kama sio kuwa mentally unstable ni ninihasa!
Mkuu mambo ya dini yameingiaje hapo? Unataka kuharibu mjadala ambao uko wazi sana. Kwa taarifa yako hiyo dini unayodhania mimi sijawahi kuijua. Tumia radical thinking tu kuelezea nilichouliza usianze kuanzisha vitu vipya utaharibu mjadala. Wakija watu sensitive na dini wataruka na wewe kimanga🤣🤣🤣🤣haipimwi na Mungu, inapimwa na fellow human beings, hayo ni mawazo huru na secular thinking, ila dini yenu hairuhusu, huyo suprime leader wa Irani mbona anatoa hukumu ya kifo nje ya mahakama(summary excution) kwa any perceived enemy of Islam within Iran or abroad, je yeye ni MUNGU wenu?, haya maisha yalikuwa enzi za medieval hata kwa wa pinga ukristo waliuwawa kikatili hadharani kwa amri ya mfalu au papa
exactly ni very tricky, hata wale washambuliaji wa Sept 11, walipata ujuzi wa wa kurusha ndege vyuo vya Marekani, na wali kuwa treated fairly lakini kumbe walikuwa na ajenda yao😛
Nashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?
mzizi wa hii thread ni Israel na USA wanauchukia Uislamu, au umedandia basi njiani bila kujua lilikotoka?Mkuu mambo ya dini yameingiaje hapo? Unataka kuharibu mjadala ambao uko wazi sana. Kwa taarifa yako hiyo dini unayodhania mimi sijawahi kuijua. Tumia radical thinking tu kuelezea nilichouliza usianze kuanzisha vitu vipya utaharibu mjadala. Wakija watu sensitive na dini wataruka na wewe kimanga🤣🤣🤣🤣
Nashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?
Mkuu mambo ya dini yameingiaje hapo? Unataka kuharibu mjadala ambao uko wazi sana. Kwa taarifa yako hiyo dini unayodhania mimi sijawahi kuijua. Tumia radical thinking tu kuelezea nilichouliza usianze kuanzisha vitu vipya utaharibu mjadala. Wakija watu sensitive na dini wataruka na wewe kimanga🤣🤣🤣🤣
ni kweli mkuu, (By 1993, South Africa had dismantled six nuclear weapons and a seventh uncompleted one, with the International Atomic Energy Agency (IAEA) verifying the complete termination of the program)Kwa kuongezea tu Kaburu huko South Africa alikuwa nayo! Sababu kubwa alitengwa karibu na ulimwengu mzima na alijua suku maoja anaweza kupigwa! Lakini nadhani baada ya Mandela waliziteketeza!
Mkuu tunaweza kuonekana kama taifa ni mentally unstable, unajua gharama anayoilipa kiduku wa Korea kwa kuwa na silaha za nuklia lakini? Ana perception ya adui kichwani mwake ambayo imepandikizwa na watawala wake! Na waanchi wanalipa gharama !Nashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?
Nashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?
hakuna logic na ninashukuru kuwa hatuna huo uwezo, unless tuna sacrifice all kinds of human/social economic development, kama alivyofanya kiduku Kim Jong Un, (North Korea’s rubber-stamp parliament has passed a budget that sustains a high level of defense spending, despite the country’s conomic troubles as leader Kim Jong Un pushes for an aggressive expansion of his nuclear arsenal), hii nchi ina maendeleo ya kijeshi, lakini wanchi wana utapiamlo, LITERAL MEANING, ADULT AND INFANT MALNUTITION, in 21st centuryNashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?

Dah! Kumbe watu wanaamia tu kutengeneza chuki na nyumbu wanafuataKila taifa huwa linatangaza maadui zake baada ya kujitawala. Tanzania yetu Nyerere aliweka wazi, Ujinga, Umaskini, Maradhi....sikumbuki jingine! Kila taifa lina priorities zake ili lilende mbele kimaendeleo! Hivyo mkuu hata kitendo cha kuweka bajeti kubwa mno kwa nchi za Kiafrica katika majeshi ilionekana ni ujinga! Sembuse Silaha za Nuklia!
Iran baaday ya mapinduzi ya 1979 ilianza na kupambana na Mashetani! Marekani na Israel! cha kusikitisha sana Israel haikuwa na uadui na Iran. Ingawa kila myu anajua ilikuwa ni gia ya kupata support kwa Waislamu wa Sunni, na kiunganishi kikubwa ni chuki ya Mayahudi ambao imo ndani ya Qurran!
- TZ life is far better kuliko maisha wanayoishi watu wa IRAN, hiyo GDP kubwa haiwasaidii wa Iran, by the way umekazania sana issue ya dini, hiyo dini kwa majority si sehemu yetu ya maisha, ila ni identity tu.
- TZ sasa hivi mikoa mingi kuna vijana wafanyabiashara wa kutoka Iran wana kopehsa electronics na utensil sets, ukitulia nao, wanakiri kabisa kwao wanatawaliwa kijima sana, na wanapenda maisha tunayoishi wa TZ.
- Iran haitaweza kuzalisha silaha za nuclear kwa miaka ya karibuni, kwa sababu wanakwamishwa na maadui zao hasa USA, ISRAEL na baadhi ya inchi za kiislamu
- HATA NCHI KUBWA ZA KIISLAMU ZINAIKATAA IRAN (On the other hand, Saudi Arabia, Jordan and United Arab Emirates united against Iran, with support from the United States. Other Arab countries continued to have normal relations with Iran. Another aspect of tension between Iran and Arab countries has been sectarianism), miamba ya kiaarabu hiyo inaikataa Iran, halafu we fukara na nusu kafiri(you do not belong to a Twelver Shia Islam)
Inaonekana utoa mtazamo wako bila kuwa na ufahamu sahihi juu ya vile unavoviongea nchi yenye universal health coverage inakuwaje na maisha magumu ,life expectancy ,litetate rate pitia basi zile indicator zilizoweka za kuassses maisha ya watu halafu uje na hoja nzuri ya kujadili
- TZ life is far better kuliko maisha wanayoishi watu wa IRAN, hiyo GDP kubwa haiwasaidii wa Iran, by the way umekazania sana issue ya dini, hiyo dini kwa majority si sehemu yetu ya maisha, ila ni identity tu.
- TZ sasa hivi mikoa mingi kuna vijana wafanyabiashara wa kutoka Iran wana kopehsa electronics na utensil sets, ukitulia nao, wanakiri kabisa kwao wanatawaliwa kijima sana, na wanapenda maisha tunayoishi wa TZ.
- Iran haitaweza kuzalisha silaha za nuclear kwa miaka ya karibuni, kwa sababu wanakwamishwa na maadui zao hasa USA, ISRAEL na baadhi ya inchi za kiislamu
- HATA NCHI KUBWA ZA KIISLAMU ZINAIKATAA IRAN (On the other hand, Saudi Arabia, Jordan and United Arab Emirates united against Iran, with support from the United States. Other Arab countries continued to have normal relations with Iran. Another aspect of tension between Iran and Arab countries has been sectarianism), miamba ya kiaarabu hiyo inaikataa Iran, halafu we fukara na nusu kafiri(you do not belong to a Twelver Shia Islam)
Uchambuzi famba sana
Hata pakistani ilikuwa hivo hivo walitaka kushambulia wakawekewa ndege za one way kwenda kufumua dimona mutuala assured destruction wakachill.
Shida ni Israel nchi zote zenye asili ya kiislamu au ambazo ni pro -palestina ni tishio kwa israel kwa maana siku moja zinaweza kuwasaidia wapalestina kwa kuwa israel anakalia hapo alipo kimabavu ilikuwa hivyo kwa Saddam hussein ambaye alikuwa hafadhili kundi lolote na imekuwa hivyo kwa Libya hivyo israel anafurahi akiwa yeye ndio mwenye nguvu kubwa ya kijeshi eneo hilo kuliko wenzake akitoa mbabe lazima atamletea visa vingi ili kujihakikishia usalama wake hivyo anapenda mataifa ambayo ni pro usa maana anayaweza kuyamudu ila mataifa yenye misimamo huru hayapendi hata kama hayana nguvu kuliko yeye mfano syria au algeria etc.
Ninaufahamu sana, hasa kuhusu health care system, locally, regionally na global. Kama unakumbuka during socialist one party system, tulikuwa na hiyo sifa, universal free health care access, huo mfumo hakuna inchi imeweza ku sustain, lazima quality iwe compromised. Reliable quality Health service must be paid/purchased partially or fully through insurance coverage. Sasa naomba usome chuma hicho mbele yako hapo chini (highlited current info)Inaonekana utoa mtazamo wako bila kuwa na ufahamu sahihi juu ya vile unavoviongea nchi yenye universal health coverage inakuwaje na maisha magumu ,life expectancy ,litetate rate pitia basi zile indicator zilizoweka za kuassses maisha ya watu halafu uje na hoja nzuri ya kujadili
2. Suala la dini ndio linalomletea uadui ndio kwa 100% muslim brotherhood walishika nchi egypt kupitia sanduku la kura kilichomkuta Mohamed Morsi raisi wao umekifahau??
3. Nchi kubwa za kiislamu unazijua miambwa ya middle east unawajua toka lini UAE akawa mwamba wa middle east hivi si vichekesho hivyo. Miamba ya east asia pale wanajulikana ni nani mataifa makubwa ya kiislamu yanajulikana hayo uliyoyataja hola kasome tena geopolitical na demographia ya dunia.
Mwisho kabisa ni dini ndio inawafanya wairan au wayemen wawe vile walivyo hususani kuwa ni sehemu ya serikali la sivyo hizo serikali zao zingekosa kuungwa mkono maana kama ni hela akija usa anamwaga zaidi yako ila kwenye masuala ya mungu ni huyo huyo tu huwezi kuhonga kwenye imani na ndio hapo wairan na wayemen na wengine wanafia dini kulinda mataifa yao kama sio hivyo wangekuwa wameperish maana wanakutana na watu wanalipwa zaidi yao ila dini ndio factor inayowalinda wewe waite magaidi na manani ila ndio factor inayowaweka na kuwapa security guarantee na public support na kulinda nchi zao mtu chake na wao wanalinda chao sisi tuendeleee kupiga soga mtandaoni hapa ila wao wanalinda vyao.
..USA na wenzake hawatazitumia ila kuwa nazo ni deterrent za dharau ya adui, lakini Irani wakifanikiwa kuwa nazo watafanya maangamizi ya kutisha (global suicide atomic attack), dunia ianze upya😀Nuclear unatakiwa kumilikiwa na watu wenye uwezo wa kudhibit hasira zao na wawe na akili timamu.mfano us na Israel wanazo lakini hawazitumii kwenye vita vyao.