Iran Kwanini Hapigi Israel

Iran Kwanini Hapigi Israel

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,242
Reaction score
15,060
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.

Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa infomation Israel kama Missiles za Iran zinaelekea Israel kwa hio Iran anazisafisha kwanza hizo nchi afu kipondo atakacho pewa Israel ndio itakuwa mwisho wa Israel.

Time itaongea.
 
Acha siasa wewe, Iran uwezo mdogo. Nchi gani anga lake adui anarusha ndege, helcopters anavyotaka.

Nchi gani ambayo adui anajichagulia amuue nani amuache nani, amuue muda gani na sehemu gani?

We unaamini Iran anaweza ingiza pumbu zake Israel au USA na akatoka salama kama wenzake wanavyoingia kwake na kutoka salama?
 
Kwa hio dogo Iran hatungui hizo ndege hahaha kweli wewe una akili za kuogota makopo wambie USA aruhusu watu wachukue video kwenye base zake zilivyo pigwa unajua USA kwenye mazungumzo ya amani alijipanga tena na kurudisha Radar kule Al Udeid air base, Qatar na Kuwait Al Sabah Air base na Baharain Al Issa Air base na Al Dhafar Air base kule UAE zote kazisafisha leo na huko Oman kapiga Radar jana pia Jordan karibu USA atainua mikono juu aombe solution kama kawaida yake na Iran alivyo Mhuni anamkubalia ili azidi kuleta silaha pale Gulf states ili apate kuzi target na wajinga wanadhani Iran ni mjinga kumbe Iran anaona mbali sana
 
Mpaka Syria Base ya Marekani imechakazwa picha wanaficha lkn wanajeshi wa Marekani wameuwawa wa kutosha pale Syria Jordan nako wanaficha wanadai no Damage 😇😇

Tatizo kubwa USA wameshindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian Tatizo linaanzia apo👈
 
YWahouthi juzi wamepiga Airport. Muhimu ndani ya Saudi Arabia kujibu ujuma ile ya mji mkuu wa Sanaa

mpaka sasa Saudi Arabia kapiga kimyaaa👈

Makombora made Iranian ayakamatiki Israel mwenyewe anajinyea nyea kule🤠 kishindo kikipiga Jordan pale Jerusalem wanaona miayale yake💥💥
 
IRANIAN arushi ndege lkn chamoto wanakiona karibu nchi 9 Kuwait Bahrain UAE Iraqi Syria Jordan Qatar Oman Saudi Arabia Wakurdi w Iraq

Iranian hatari sana.
 
Unapokuja kwenye suala la vita na Israel, Iran mwenyewe anawaza mara mbili mbili
 
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.

Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa infomation Israel kama Missiles za Iran zinaelekea Israel kwa hio Iran anazisafisha kwanza hizo nchi afu kipondo atakacho pewa Israel ndio itakuwa mwisho wa Israel.

Time itaongea.
Swali hili lina jibu la kisiasa na kijeshi kwa pamoja. Mara nyingi si kwamba Iran "haipigi Israel", bali huchagua malengo kulingana na mkakati wake wa kijeshi na kisiasa katika kipindi husika cha mgogoro.

Sababu kuu ni hizi:

Kulenga washirika wa Marekani

Nchi nyingi za Ghuba zina vituo vya kijeshi vya Marekani au miundombinu muhimu ya nishati.
Iran inapohisi inashambuliwa na Marekani, inaweza kuona malengo hayo kuwa sehemu ya mtandao wa kijeshi unaoiunga mkono Marekani.

Kuongeza gharama za vita
Mashambulizi dhidi ya miundombinu ya mafuta, usafirishaji wa baharini, au washirika wa Marekani yanaweza kuathiri uchumi wa dunia na kuongeza shinikizo la kidiplomasia.
Huu ni mkakati wa kuonyesha kwamba mgogoro hauwezi kubaki kati ya nchi mbili pekee.

Kuepuka vita vya moja kwa moja vya kiwango kikubwa

Shambulio la moja kwa moja dhidi ya Israel pekee linaweza kusababisha jibu kubwa la kijeshi.
Iran mara nyingi imekuwa ikijaribu kusawazisha kati ya kuonyesha uwezo wake wa kujibu na kuepuka vita vinavyoweza kuhatarisha usalama wake wa ndani.

Jiografia ya eneo
Makombora na ndege zisizo na rubani zinazolenga Israel mara nyingi hupitia anga za nchi nyingine kama Jordan, Iraq au Syria.
Hivyo, nchi hizo zinaweza kuathiriwa na mabaki ya makombora yaliyoangushwa au hata kuwa sehemu ya operesheni za kijeshi za pande zinazohasimiana.

Mkakati wa "horizontal escalation"
Wachambuzi wa masuala ya usalama wameuelezea mkakati wa Iran wa kupanua eneo la mgogoro badala ya kuuzuia katika uwanja mmoja wa vita.
Hii inalenga kuonyesha kwamba mgogoro wowote unaoihusisha Iran unaweza kuwa na athari kwa eneo lote la Mashariki ya Kati.

Kwa hiyo, si sahihi kusema kwamba Iran daima huepuka kuishambulia Israel. Kinachotokea ni kwamba uteuzi wa malengo hutegemea mazingira ya kisiasa, kijeshi na malengo ya kimkakati ya wakati huo. Wakati mwingine Iran hulenga Israel moja kwa moja, na wakati mwingine hulenga maeneo ambayo inaamini yanahusika katika mgogoro huo au yanaweza kuongeza shinikizo kwa wapinzani wake
 
Iran anajua akirusha Jiwe Tel Aviv basi waandae majeneza ya regime nzima sasa Waliopona kichapo cha last conflict wote hawataki kudedishwa na Netanyahu.

Kupigana na mtu mwenye ngumi nzito sana kama za Koba Kimanga unahitaji daktari na refaree bouncer aamulie hali ikiwa mbaya. Kiufupi Iran anaiogopa Israel, ndio maana alikuwa anamtumia Marekani amshinikize Irael atulia kule Lebanon, ila Israel kagoma na kasema hausiki na huo mkataba wake wa Iran na Marekani.. so mleta mada ndie Mjinga. Jahil tu.
 
Vita ni mahesabu hupigani tu kama unatungua maembe juu ya mti. Iran yupo very strategic kumbuka yupo mwenyewe na anapigana na nchi zenye nguvu kubwa kumzidi kiuchumi.
 
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.

Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa infomation Israel kama Missiles za Iran zinaelekea Israel kwa hio Iran anazisafisha kwanza hizo nchi afu kipondo atakacho pewa Israel ndio itakuwa mwisho wa Israel.

Time itaongea.
Wewe hata hiyo masjid ubwabwa yenyewe tu huendi siku hizi ndio maana umekuwa muongo hivi.
 
Iran anajua akirusha Jiwe Tel Aviv basi waandae majeneza ya regime nzima sasa Waliopona kichapo cha last conflict wote hawataki kudedishwa na Netanyahu.

Kupigana na mtu mwenye ngumi nzito sana kama za Koba Kimanga unahitaji daktari na refaree bouncer aamulie hali ikiwa mbaya. Kiufupi Iran anaiogopa Israel, ndio maana alikuwa anamtumia Marekani amshinikize Irael atulia kule Lebanon, ila Israel kagoma na kasema hausiki na huo mkataba wake wa Iran na Marekani.. so mleta mada ndie Mjinga. Jahil tu.

Jiwe tena ivi unajua Israel ilichapika na itachapika ndani ya siku mbili tatu izi✍️ Israel ilitandikwa sio mambo👇 ya Jiwe 👈
 
Attachments

  • 1775306757284.png
    1775306757284.png
    534.7 KB · Views: 7
  • 1773516046740.png
    1773516046740.png
    4.7 MB · Views: 6
  • 20260310_034613.jpg
    20260310_034613.jpg
    29.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 4
  • 6275941-d292e055ffd4262c109bae6666be5be6.jpg
    6275941-d292e055ffd4262c109bae6666be5be6.jpg
    21 KB · Views: 5
Unaongelea jiwe kwa Iranian kwa Israel unawependa kweli Waisrael

Wenyewe wajambajamba kila wakisikia Iranian inasema kwasasa yale makubaliano ya kusitisha Vita yamezikwa rasmi👈

kwanzia sasa tutaongea kwanjia ya MOTO 💥💥💥💥💥💥💥💥
 
Wanajamba jamba waziwazi Netanyahu juzi kadai wao
watatumia Nuclear wakiguswa👈

Sasa kwanini wasiguswe nawao ndio Walianzisha Vita na Trump kwa pamoja❗️👈

leo Vita ile ile imefufuka tulitegemea nayeye Israel iendelee kupiga Iranian ❗️

lkn wameufyata kimyaaa❗️

na wanaogopa baada gulf state kuchapwa watafuata ni wao!!!

Ndiomana unasikia Netanyahu anasema mimi Simo kwasasa na nikiguswa natumia Nuclear

Iranian kamjibu Netanyahu ❗️
kamwambia mm nina Ardhi kubwa ya kujitutumua upya 👈

lkn ww Eneo una na utapotea mazima 🤣🤣🤣
 
Iran anajua akirusha Jiwe Tel Aviv basi waandae majeneza ya regime nzima sasa Waliopona kichapo cha last conflict wote hawataki kudedishwa na Netanyahu.

Kupigana na mtu mwenye ngumi nzito sana kama za Koba Kimanga unahitaji daktari na refaree bouncer aamulie hali ikiwa mbaya. Kiufupi Iran anaiogopa Israel, ndio maana alikuwa anamtumia Marekani amshinikize Irael atulia kule Lebanon, ila Israel kagoma na kasema hausiki na huo mkataba wake wa Iran na Marekani.. so mleta mada ndie Mjinga. Jahil tu.
Wewe kenge kweli kichapo kinakuja huko Tela Aviv leo Trump kakimbiza majeshi yake Kuwait kwa njia ya Airport ya Kuwait badala ya kutumia base anayo itumia Kuwait sababu imesambaratishwa karibu yote mpaa Kuwait wanakataza wananchi wasi record video hahaha leo Trump anawambia Gulf states na Israel wamlipe ili awalinde sa zile base zake zilikuwa ni mapambo au hahaha
 
Wanajamba jamba waziwazi Netanyahu juzi kadai wao
watatumia Nuclear wakiguswa👈

Sasa kwanini wasiguswe nawao ndio Walianzisha Vita na Trump kwa pamoja❗️👈

leo Vita ile ile imefufuka tulitegemea nayeye Israel iendelee kupiga Iranian ❗️

lkn wameufyata kimyaaa❗️

na wanaogopa baada gulf state kuchapwa watafuata ni wao!!!

Ndiomana unasikia Netanyahu anasema mimi Simo kwasasa na nikiguswa natumia Nuclear

Iranian kamjibu Netanyahu ❗️
kamwambia mm nina Ardhi kubwa ya kujitutumua upya 👈

lkn ww Eneo una na utapotea mazima 🤣🤣🤣
Leo America kawakimbiza askari zake Kuwait kwa kutumia Kuwait Air port badala ya Al Sabah Air base hahaha Trump anawambia Gulf states na Israel mkitakata protects yetu lipeni sa zile base ziliopo Gulf states si alikuwa analipwa hahaha hakuna watu waoga kama America alafu wanataka vita eti hahaha
 
Mpaka Syria Base ya Marekani imechakazwa picha wanaficha lkn wanajeshi wa Marekani wameuwawa wa kutosha pale Syria Jordan nako wanaficha wanadai no Damage 😇😇

Tatizo kubwa USA wameshindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian Tatizo linaanzia apo👈
Nilicheka eti Syria wanadai hizo Missiles hazikufika kwenye base na hakuna askari wa USA huko Syria wanadhani duniani wako wajinga wengi kama Echolima1 na Mlaleo pia nilicheka Jordan naye anadai eti kule Jordan hakuna base ya USA hahaha tena waziri haoni hata aibu kusema uwongo wanadhani watu wako kwenye giza zile za 70
 
Endeleeni kujifariji tu Iran anapigika Kama kawaida!!
 
Back
Top Bottom