Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Iran kuna wayahudi wengi tu.

Hivi Tanzania tatizo ni ujinga au ukosefu wa elimu bora ? Mbona watu wengi wana ukosefu wa maarifa machache tu hata yasiyo na uzito ?
Itakuwa ni ukosefu wa elimu bora.

Kwenye mkutano ya Ayatola niliwasikia wanaimba ''death to Israel, death to Israel'', nikajua hao vichaa nia yao ni kuwaua wayahudi.
 
Hao ni vichaa wenye hafadhali kuna kicha mmoja aliyekomaa anaendeleza mauaji ya kimbari pale Palestine na anakingiwa kifua na vichaa wenzake wenye mabomu kama yake ili kuendeleza mauaji ya kimbari.

Najua mabomu ya Nyuklia hayawezi kuangamizwa sasa nataka kuona anatokea wa kumfunga speed governor huyu kichaa anaye endeleza mauaji ya kimbari hapo Palestine.
Kumfunga spidi gavana kichaa mwny silaha siyo kumpatia silaha kichaa mwingine, bali ni kumvizia huyo kichaa na kumpokonya silaha.
 
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Sababu muhimu ni kwamba Usa hawezi kumcontrol Iran, kama ni Udini Pakistan asingekua na Nyuklia, Pakistan wana Dini na Makundi kushinda hata Iran.
 
Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu

Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
Iran ndio anakomesha makundi ya Ugaidi.

Nikuulize tu swali moja Kati ya Iran na Usa na wake zake kama Israel nani anapambana na Al Qaeda na Isis?

Hezbollah kwa kiasi kikubwa kaondoa makundi ya Kigaidi Lebanon, there was a point Walebanon wanaoishi ughaibuni walikua wana rudi Lebanon sababu ya Hezbollah, jamaa walipiga wote hao na kujenga shule na hospitali kuleta Amani nchini kwao.

Same kwa Iraq, ni hao Militia wanaofadhiliwa na Iran ndio walipiga Isis na vibaraka wao.

Kila mtu mwenye akili kidogo anajua nani Wanafadhili Isis, Boko Haram, Al Qaeda na wengineo. Sasa hivi huko Usa wanatajana tu na kuumbuana jinsi USaid inavyofadhili magaidi.
 
Pakistani wako wise zaidi na ni rafiki na magharibii, Irani kuna mtu anaitwa supreme leader huyo anajua dini tu, na ndiye anayweza toa final ruksa ya ku ya rusha ma nuklia
Kwa hiyo kuwa rafiki na magharibi ndio wise,sababu kuu ya Pakistan kuwa na nuke ni adui yake mkuu ni India ana nukes vivyo hivyo adui mkuu wa wairan ni waisrael na pia nchi za magharibi wanaindama sana iran shauri ya utajiri wa oil and gas ambazo haziko ktk himaya yao baada ya mapinduzi ya kiislamu na kuwa na ayatollah kama mkuu wa. nchi , kumbuka wairan sio kuwa hawawezi kuwa na nukes hawajataka ila wakiamua wanatengeneza na wanaitangazia dunia kuwa wananuclear dunia itawafanya nini zaidi ya vikwazo kama vya korea kaskazini na kwa iran ni ngumu vikwazo kufaulu shauri ya gesi na mafuta na economy divercity na wamesurvive miaka 40 ya vikwazo hamna jipya hapo, sema wako werevu na pia wanaheshimu international law ,
 
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
China, Russia, UK even Israel(back then secretly) zimemiliki silaha kitambo. India waliamua tu kibabe ili wawe 'a force to be reckoned with' na aftermath ya hilo ni Pakistan kuona vipi hasimu wao awe na nuclear wao wasiwe nayo hivyo wakatengeneza huku maelezo yao yakiwa kama India wana nuclear arsenals nao lazima wawe nazo to balance the equation.
Marekani nchi za third world wanazichukulia kama wewe unavyowachukulia watoto wako nyumbani kwako, yaani unakuwa na mandate ya kuamua nani amiliki nini na nani asimiliki nini just as simple as that.
Iran kwa jicho la Marekani haaminiki hivyo hastahili kuwa na nuclear weapons.
As for South Africa they don't have nuclear arsenals though wana nuclear plants za kuzalishia umeme na mambo mengine for industrial production purposes.
 
Kwa hiyo kuwa rafiki na magharibi ndio wise,sababu kuu ya Pakistan kuwa na nuke ni adui yake mkuu ni India ana nukes vivyo hivyo adui mkuu wa wairan ni waisrael na pia nchi za magharibi wanaindama sana iran shauri ya utajiri wa oil and gas ambazo haziko ktk himaya yao baada ya mapinduzi ya kiislamu na kuwa na ayatollah kama mkuu wa. nchi , kumbuka wairan sio kuwa hawawezi kuwa na nukes hawajataka ila wakiamua wanatengeneza na wanaitangazia dunia kuwa wananuclear dunia itawafanya nini zaidi ya vikwazo kama vya korea kaskazini na kwa iran ni ngumu vikwazo kufaulu shauri ya gesi na mafuta na economy divercity na wamesurvive miaka 40 ya vikwazo hamna jipya hapo, sema wako werevu na pia wanaheshimu international law ,
1.Ni ukweli bila shaka ukijitangaza uadui na USA na allies wake maisha ya kiuchumi yanakuwa ni magumu, uchumi wa Iran unaenda kudondoka vibaya
2. The Iranian economy has crumbled drastically over the past year, due to chronic mismanagement, corruption and international sanctions. The middle class, particularly women, is suffering the most. Within a year, the Iranian rial has lost over 50% of its value.
3. Nuke programs za Iran zimekuwa dismantled na Israel kwa mfululizo, so they will never achieve to be a nuclear power like the rival neighbour Israel
4.
Israel defence budget (30 Trn USD) ni mara mbili ya Iran (15 Trn USD), ndyo maana wanaweza choose target wanayoitaka ndani ya Iran, wakati shambulio la Iran kwa Israel huwa siyo smart, ni indiscriminate carpet bombings
 
Wataifyeka dunia nzima kwa imani za kipuuzi
Ajabu ya mwanaadam kwa namna anavyoipenda dunia!
Utakuta mtu hana sehemu maalum ya kulala,hana uhakika hata wa mlo mmoja kwa siku,amedhoofika kiafya lakini habari ya umauti hataki hata kuisikia.
 
Anayelindwa ni Israel hapo, Silaha za nyuklia ni kitu kimoja hatari sana kuwa nacho na ndio ulinzi unaoweza kutuliza maadui wako, unajua Iran si taifa unaloweza kulidhibiti kirahisi hasa kimaamuzi iwapo tu wakiamua kufanya jambo Fulani hakuna yoyote anayeweza kuwazuia hata kama itawagharimu kiasi gani, ogopa sana kukutana na mtu asiyeweza kudhibitika kirahisi hasa kimawazo, hii ndo huonekama kama taifa lisiloaminika. Jua kwamba Israel analinda maslahi ya magharibi, waarabu wote wamewekwa mfukoni na Israel, US. Haya mambo huenda na historia za jamii husika.
 
Iran tatizo lao wanahusudu mafundisho ya Allah so Wakiwa na Neucler wataleta tatizo duniani si unajua tena Iblis akishika silaha haishushi hadi mtu atokwe na damu.

So Netanyahu yupo fullback anamkaba Allah na Ayatollah
 
1.Ni ukweli bila shaka ukijitangaza uadui na USA na allies wake maisha ya kiuchumi yanakuwa ni magumu, uchumi wa Iran unaenda kudondoka vibaya
2. The Iranian economy has crumbled drastically over the past year, due to chronic mismanagement, corruption and international sanctions. The middle class, particularly women, is suffering the most. Within a year, the Iranian rial has lost over 50% of its value.
3. Nuke programs za Iran zimekuwa dismantled na Israel kwa mfululizo, so they will never achieve to be a nuclear power like the rival neighbour Israel
4.
Israel defence budget (30 Trn USD) ni mara mbili ya Iran (15 Trn USD), ndyo maana wanaweza choose target wanayoitaka ndani ya Iran, wakati shambulio la Iran kwa Israel huwa siyo smart, ni indiscriminate carpet bombings
Iran hakutangaza wala hakuomba uadui na marekani ila shida kuwa na utawala wa kiislamu hilo ndio marekani hataki hususani utawala ukiwa na misingi ya dini huwa inakataa dhulma na ufisadi
Kwa hiyo wamarekani wakakosa kuendesha uchumi wao kama kule zama za mfalme Shah , pili kuhusu uchumi Iran anavikwazo vya uchumi tokea mwaka 1979 ila taja ni nchi gani ya Africa inauchumi mkubwa kuishinda iran na kingine despite vikwazo vijamaa vinazalisha maenginerr 250,000 kwa mwaka ndio hao wanaojenga vinu vya nyuklia na kufanya hightech reverse engineering wao wairan ni among the best makers wa drones na ballistic missile duniani mpaka Russia akaenda kununua Iran shahed 136 zile haya niambie nani huku Africa anavikwazo na anatengeneza vitu kama hivyo na kwenda kuuza russia kimsingi Iran yuko self sufficient kwenye maeneo mengi japo yapo ambayo bado ndio maana vikwazo havimsumbui ,ila kumbuka Israel.alone hawezi kupigana vita na Iran akashinda ila anategemea mgongo wa usa kufanikisha objective zake wao wenyewe wanakiri hilo .israel amezidiwa na iran kwa kila kitu na kama sio kuzidiwa huko basi ingekuwa kinu cha nyuklia cha iran kishalipuliwa siku nyingi kile kioperation uchwara cha israel hakuingiza kabisa hizo high tech f35 alizopewa na usa ktk iranian air space maana zingeshushwa kiuhalisia wacha wapigane tunaombea sana marekani afanye maamuzi haya ya kijinga akapigane ili world order ibadilike izaliwe rasmi multipolar world order.
Kama israel mwamba si aende akapigane kavu kavu na Iran kwa nini akae nyuma ya mgongo wa usa. Mwisho kama nuclear program ya iran ilishaharobiwa sasa hizi kelele za kwenda kulipuwa vinu ni za nini israel si walishashinda jamani wakaharibu programmu wewe toka assasination ya nuclear scientist ikafanya programu ife ktk taifa la watu million 90 huko kuwa watoto wamejazana kwenye mavyuo vikuu wakitoka hawa wanaingia hawa hivi vijamaa vinapenda shule sana maendeleo yanakuja ukiwa unazalisha mainjinia wakutosha utajitengenezea mwenyewe almost kila kitu.
 
Uchambuzi famba sana
Hata pakistani ilikuwa hivo hivo walitaka kushambulia wakawekewa ndege za one way kwenda kufumua dimona mutuala assured destruction wakachill.
Shida ni Israel nchi zote zenye asili ya kiislamu au ambazo ni pro -palestina ni tishio kwa israel kwa maana siku moja zinaweza kuwasaidia wapalestina kwa kuwa israel anakalia hapo alipo kimabavu ilikuwa hivyo kwa Saddam hussein ambaye alikuwa hafadhili kundi lolote na imekuwa hivyo kwa Libya hivyo israel anafurahi akiwa yeye ndio mwenye nguvu kubwa ya kijeshi eneo hilo kuliko wenzake akitoa mbabe lazima atamletea visa vingi ili kujihakikishia usalama wake hivyo anapenda mataifa ambayo ni pro usa maana anayaweza kuyamudu ila mataifa yenye misimamo huru hayapendi hata kama hayana nguvu kuliko yeye mfano syria au algeria etc.
Kama israeli anakalia kimabavu niambie Yesu kristo aliposhuka miaka 2000 alishukia israeli ya wapi au sema israeli kwao ni wapi
 
Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu

Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
makundi ya magaidi yepi?
 
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Mwaka 1968 Umoja wa mataifa waliandaa mkataba unaozuia nchi zote kuzalisha silaha za nuclear na Iran walisaini. Mkataba huo uliwataka wenye hizo silaha wasizalishe zaidi na wasiokuwanazo wasizalishe/wasimiliki kabisa.
 
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Shida kubwa nadhani hawana akili ya kuzitumia. Sioni kama kuna sababu nyingine za msingi.
 
Back
Top Bottom