Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Iran hakutangaza wala hakuomba uadui na marekani ila shida kuwa na utawala wa kiislamu hilo ndio marekani hataki hususani utawala ukiwa na misingi ya dini huwa inakataa dhulma na ufisadi
Kwa hiyo wamarekani wakakosa kuendesha uchumi wao kama kule zama za mfalme Shah , pili kuhusu uchumi Iran anavikwazo vya uchumi tokea mwaka 1979 ila taja ni nchi gani ya Africa inauchumi mkubwa kuishinda iran na kingine despite vikwazo vijamaa vinazalisha maenginerr 250,000 kwa mwaka ndio hao wanaojenga vinu vya nyuklia na kufanya hightech reverse engineering wao wairan ni among the best makers wa drones na ballistic missile duniani mpaka Russia akaenda kununua Iran shahed 136 zile haya niambie nani huku Africa anavikwazo na anatengeneza vitu kama hivyo na kwenda kuuza russia kimsingi Iran yuko self sufficient kwenye maeneo mengi japo yapo ambayo bado ndio maana vikwazo havimsumbui ,ila kumbuka Israel.alone hawezi kupigana vita na Iran akashinda ila anategemea mgongo wa usa kufanikisha objective zake wao wenyewe wanakiri hilo .israel amezidiwa na iran kwa kila kitu na kama sio kuzidiwa huko basi ingekuwa kinu cha nyuklia cha iran kishalipuliwa siku nyingi kile kioperation uchwara cha israel hakuingiza kabisa hizo high tech f35 alizopewa na usa ktk iranian air space maana zingeshushwa kiuhalisia wacha wapigane tunaombea sana marekani afanye maamuzi haya ya kijinga akapigane ili world order ibadilike izaliwe rasmi multipolar world order.
Kama israel mwamba si aende akapigane kavu kavu na Iran kwa nini akae nyuma ya mgongo wa usa. Mwisho kama nuclear program ya iran ilishaharobiwa sasa hizi kelele za kwenda kulipuwa vinu ni za nini israel si walishashinda jamani wakaharibu programmu wewe toka assasination ya nuclear scientist ikafanya programu ife ktk taifa la watu million 90 huko kuwa watoto wamejazana kwenye mavyuo vikuu wakitoka hawa wanaingia hawa hivi vijamaa vinapenda shule sana maendeleo yanakuja ukiwa unazalisha mainjinia wakutosha utajitengenezea mwenyewe almost kila kitu.
Kwa nn Iran ameacha mtoto wake Hezbollah kachakazwa namna ile? HEMU SAIDIA UFAHAMU KIDOGO ANGEL HII
 
Utoto au wendawazimu? Nina uhakika wewe ni muislamu na unajisikia second hand pain ukiona Iranians (Arabians) wakikandamizwa kwa sababu ya tabia zao za kidini. Maana yake hata ulichokiandika hapo ni kimetokana na udini.

Kuongelea dini hakuepukiki kama mada ni Iran, sio humu tu. Bali nenda popote mtandaoni. Iran ni impulsive religious country, hiyo ni fact.

Lasivyo basi kila mtu atakuwa ni mtoto au mwendawazimu. Sasa jiulize hiyo inawezekana vipi.
Yaani nijisikie maumivu kwa nchi ambayo hata haijui nakula nini?

Nakutaarifu tu, mimi sio mfia dini la kwanza,

la pili dini nimeikuta kwa wazazi wangu na ndio hiyo ambayo ninayo, hivyo siwezi dharau ama kuiponda dini ya mwengine kwa namna yoyote ile,

la tatu kama unaamini hayo mapigano ni sababu ya dini basi wewe ndiye shabiki wa dini na unajihisi mwenye furaha pale ambapo hao akina US wanavyosapoti mauaji ambayo kamwe hayajawahi kutokana na sababu za kidini.

Hakuna sababu yoyote ya kidini inayofanya ama iliyofanya hiyo migogoro mashariki ya kati kutokea, sababu zote ni za kisiasa na kiutawala.

Mfano mkubwa ni vita ya Ukraine na Russia
 
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Kuna kiongozi mmoja wa Marekani aliulizwa swali kama hili. Naye akajibu kwa kuuliza swali:

Hivi ukimwona mtu mwenye akili timamu ameshika panga, huwa unajisikiaje? Na vipi ukamwona kichaa ameahika panga?
 
Back
Top Bottom