Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Ninaufahamu sana, hasa kuhusu health care system, locally, regionally na global. Kama unakumbuka during socialist one party system, tulikuwa na hiyo sifa, universal free health care access, huo mfumo hakuna inchi imeweza ku sustain, lazima quality iwe compromised. Reliable quality Health service must be paid/purchased partially or fully through insurance coverage. Sasa naomba usome chuma hicho mbele yako hapo chini (highlited current info)
Iran’s healthcare system is facing mounting challenges, with medicine shortages and soaring costs reaching alarming levels.

In February, Iran’s Pharmaceutical Association sent a letter to Ali Ahmadian, Secretary of the Supreme National Security Council, highlighting the government’s failure to pay its debts to pharmacies—estimated in the hundreds of millions of dollars, according to media reports.
Wao wanazalisha 95% ya mahitaji yao ya dawa za msingi yaani essential medicine na dawa za dharura mpaka chanjo ya Covid 19 walitengeneza wenyewe hapa kwetu Africa ukiacha South Africa nani alijitengenezea chanjo ya covid sio kuwa hawana challenge wanazo ila ni kwenye advanced nedicine za matatizo makubwa kama cancer ila ukizungumzia uwiano wa daktari vs wagonjwa ratio yao ni nzuri hata nchi za magharibi hazifikiii wao wana madaktari 2 kwa 1000 wakati WHO wanataka 1 kwa 1000 wao kwao basic health care na emergency health care ni world class ila ni kweli baadhi ya advanced healrh care wanastrugle shauri ya sanctions ila wanazo. Ukumbuke tu USA mwenyeww akiwa Afghanistan alikuwa ananunua antivenom iran antivenom kwa kuwa zilikuwa more effecrive kuliko za kwao.insurance coverage kwao ni 90% , sio kwamba wako vizuri 100% ila sio wakubeza kwa lugha yako au kusema wanataabika kama vile wako vifungoni.
 
Your terribly illusional, just because you are a Muslim lazima ufumbie macho ukweli. Dunia ya leo sane people don't subscribe to a any religion doctrine, Iranians are struggling

Survey finds over 90% of Iranians dissatisfied and feeling hopeless​

Sep 8, 2024, 15:51 GMT+1Updated 9:23 PM

Sociologists warn that this overwhelming sense of hopelessness could lead to greater unrest. Speaking to Ham-Mihan, sociologist Simin Kazemi pointed out the fact that 60% of eligible voters did not participate in the first round of the 2024 presidential election, a sign of widespread political disillusionment :CaptFailFish:
 
Iran Wana ndoto ya Persian empire.

Njia ya Kwanza waliyoanza ni kuunda vassal states,

Yemen, Iraq, Lebanon na Syria ya Assad.

October 7 imewarudisha nyuma sana Iran na kuwafanya wawe vurnarable.

Only Israel Ndio ana msuli wa kudeal na Iran hapo Mashariki ya kati, bila Marekani na Israel.
UAE, Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Syria mataifa mengine yote yatakuwa chini ya Influence ya Iran, now Imagine wakiwa na Bomu la Nyuklia
 
UAE, Qatar, Morocco, Iraq, Egypt, etc wamemkataa Irani, kumbuka issue ya Shia Vs Suni, Irani ni 95% Shia I.e Iran ni Serikali ya Shia 100% kwao Suni siyo real Islam, na ni maadui, hawa jamaa vita kati ya hizo side mbili huwa ni mbaya sana
 
Nashukuru kwa ufafanizi mkuu. Hivi mfano Tanzania tukitaka kumiliki hizo silaha kwa sasa tutaruhudiwa?
Toothpicks mnaagiza toka China, hamna hata kiwanda Cha magobole.
Utakuwa CCM wewe si kwa mawazo hayo ya eti tukuitaka kumiliki silaha za nuclear tunaruhusiwa?
 
Hata kama siyo muislamu, nae ni mwehu tu.

Kuna vichaa wengi tu ambao siyo waislamu, mojawapo ni Putin na Korea kaskazini.

Hao hawatakiwi kuwa na nyuklia.
Sasa hapo hauoni kama umejichanganya??
 
Vichwa panzi wale wawe na nuclear watalipua kila siku.
 
Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu

Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
Fikra za wapotofu.Kwanini wao wanazo na nani amehakikisha wao wanazitumia vizuri.
Dalili za wao kuwa wakimiliki silaha wanazitumia vibaya ni jinsi wanavyouwa na kubomoa majengo Gaza.
 
Toothpicks mnaagiza toka China, hamna hata kiwanda Cha magobole.
Utakuwa CCM wewe si kwa mawazo hayo ya eti tukuitaka kumiliki silaha za nuclear tunaruhusiwa?
Kupanga ni kuchagua ndugu yangu.
 
Mkuu kaishi Paris huyo! Wala hakuwa nchi yoyote ya Kiislamu...alikuwa huru kutumia Demokrasi ya Magharibi kusambaza propaganda zake....aliporudi akaitukana na kuisigina kwa kisigino....Picha hiyo chini akirudi toka Paris Mahamishoni...

View attachment 3294118
Mapinduzi ya Ayatolla Khomeiny ya mwaka 1978 yameiharibu Iran. Iran ilikuwa highly developed chini ya Mtawala wa wakati huo aliyeitwa Mohamed Reza Pahlavi huku Khomeiny akiwa uhamishoni Paris. Kuifanya nchi ya Kiislamu kumeirudisha nyuma sana kwa sababu ya vikwazo walivyowekewa na umoja wa mataifa
 
Toothpicks mnaagiza toka China, hamna hata kiwanda Cha magobole.
Utakuwa CCM wewe si kwa mawazo hayo ya eti tukuitaka kumiliki silaha za nuclear tunaruhusiwa?
Kwani CCM imezuia wawekezaji wa hizo toothpicks?
 
Your terribly illusional, just because you are a Muslim lazima ufumbie macho ukweli. Dunia ya leo sane people don't subscribe to a any religion doctrine, Iranians are struggling

Survey finds over 90% of Iranians dissatisfied and feeling hopeless​

Sep 8, 2024, 15:51 GMT+1Updated 9:23 PM

Sociologists warn that this overwhelming sense of hopelessness could lead to greater unrest. Speaking to Ham-Mihan, sociologist Simin Kazemi pointed out the fact that 60% of eligible voters did not participate in the first round of the 2024 presidential election, a sign of widespread political disillusionment :CaptFailFish:
Hahahahaha acha nicheke tu twende kwenye geopolotics discussion na sio vioja kweli nianze kudiscuss happiness or sadness shida unaokota okota tu vifacts uchwara unatupia.
 
These sanctions have caused or contributed to a wide range of negative macroeconomic outcomes including rapid currency devaluation, severe trade and fiscal deficits, elevated inflation, and rising poverty rates. Iran has been unable to truly mitigate or resist the economic pressures exerted by sanctions
 
UNABISHANA NA FACTS:3Dance:,The Iranian economy has crumbled drastically over the past year, due to chronic mismanagement, corruption and international sanctions. The middle class, particularly women, is suffering the most.
 
Hahahahaha acha nicheke tu twende kwenye geopolotics discussion na sio vioja kweli nianze kudiscuss happiness or sadness shida unaokota okota tu vifacts uchwara unatupia.
You imbecile and ignorant, fight for Iranians who are deeply suffering, while the few elite are enjoying, that's against Islam values
 
NIPE current data, how the Iranian economy and citizens are fairlying. Just b'se u'r a fellow Muslim u disregard the facts, wewe ukienda Iran and u are not a Shia u are as good as Kafiri.
 
Aliyekuambia mimi nawapenda wairan ni nani we discuss geopolitics na views za kuona mwenendo wa middle east na key players wanavocheza michezo na kuscore global goals ila.si discuss eti kwa kuwa nina imani flani if iranian or israels or usa kills each other ni wao siwezi kukosa usingizi hata siku moja kabisa or kuwa emotional tense fact zitakuwa fact tu.
 
H
You imbecile and ignorant, fight for Iranians who are deeply suffering, while the few elite are enjoying, that's against Islam values
Hahaha wenye akili timamu hawaitani imbecile hii.ni.kuonyesha weakness kwenye hoja na vioja hivyo unarukia maneno yasiyo na stara international.politics na geopolitics zinataka diacussion with neutrality na kufuata direction ya ukweli ila ukifanya ushabiki kama simba na yanga utaumiza hisia zako na kuanza kuropoka maneno ya imbecile nasi tunaishia kucheka tu hahahaha.
 
These sanctions have caused or contributed to a wide range of negative macroeconomic outcomes including rapid currency devaluation, severe trade and fiscal deficits, elevated inflation, and rising poverty rates. Iran has been unable to truly mitigate or resist the economic pressures exerted by sanctions
Hizo sanctions wanazo for over 40years sasa na wanaweza au wameweza kuzibypass na kufanikisha nchi yao kuwa na GDP kubwa kuzidi South Africa hatukatai kuwa hawana changamoto wqnazo inflation wanayo ila wao nature ya uchumi wao govt inatoa subsidy kwenye vitu vingi kease maisha ya raia, performance ya economy yao na technological.development yao ukilinganisha na non sanctioned countries unaona kabisa kwa kiwango kikubwa wako mbali leo hii kitechnolojia huwezi fananisha Iran na jirani zake pale middle east sio uae sio saudi arabia wote kawapita mbali kwenye technolonia na hii ni despite miaka 40 ya vikwazo.
 
Aliyekuambia mimi nawapenda wairan ni nani we discuss geopolitics na views za kuona mwenendo wa middle east na key players wanavocheza michezo na kuscore global goals ila.si discuss eti kwa kuwa nina imani flani if iranian or israels or usa kills each other ni wao siwezi kukosa usingizi hata siku moja kabisa or kuwa emotional tense fact zitakuwa fact tu.
:nymnCorn:
 
Back
Top Bottom