DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,885
- 3,058
Pakistani wako wise zaidi na ni rafiki na magharibii, Irani kuna mtu anaitwa supreme leader huyo anajua dini tu, na ndiye anayweza toa final ruksa ya ku ya rusha ma nuklia, bahati mbaya mpaka leo hawana hata bomu moja la nuclearUchambuzi famba sana
Hata pakistani ilikuwa hivo hivo walitaka kushambulia wakawekewa ndege za one way kwenda kufumua dimona mutuala assured destruction wakachill.
Shida ni Israel nchi zote zenye asili ya kiislamu au ambazo ni pro -palestina ni tishio kwa israel kwa maana siku moja zinaweza kuwasaidia wapalestina kwa kuwa israel anakalia hapo alipo kimabavu ilikuwa hivyo kwa Saddam hussein ambaye alikuwa hafadhili kundi lolote na imekuwa hivyo kwa Libya hivyo israel anafurahi akiwa yeye ndio mwenye nguvu kubwa ya kijeshi eneo hilo kuliko wenzake akitoa mbabe lazima atamletea visa vingi ili kujihakikishia usalama wake hivyo anapenda mataifa ambayo ni pro usa maana anayaweza kuyamudu ila mataifa yenye misimamo huru hayapendi hata kama hayana nguvu kuliko yeye mfano syria au algeria etc.