MBWARI
JF-Expert Member
- Sep 8, 2021
- 336
- 1,137
Aliye ripua Japan ni muislam?Sababu huijui????
Waislamu hawaaminiki, watalipuana wao kwa wao kisha wataleta fujo duniani, Usimpe muislamu panga, atakata mdugu zake akimaliza atakugeukia
Aliye ripua Japan ni muislam?Sababu huijui????
Waislamu hawaaminiki, watalipuana wao kwa wao kisha wataleta fujo duniani, Usimpe muislamu panga, atakata mdugu zake akimaliza atakugeukia
The US dropped atomic bombs on Hiroshima and Nagasaki to force Japan's unconditional surrender and end World War II, saving potentially millions of American lives in a land invasion, and also to demonstrate the power of the new weapon to the Soviet Union.Aliye ripua Japan ni muislam?
Kiukweli ukipima kwa mizania ya usawa na haki utaona ikiwa wakina Israel, Pakstan nk wanazo kwanini Iran asiwe na haki yakuwa nayo kama mataifa mengine?Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Iran hakutangaza wala hakuomba uadui na marekani ila shida kuwa na utawala wa kiislamu hilo ndio marekani hataki hususani utawala ukiwa na misingi ya dini huwa inakataa dhulma na ufisadi
Kwa hiyo wamarekani wakakosa kuendesha uchumi wao kama kule zama za mfalme Shah , pili kuhusu uchumi Iran anavikwazo vya uchumi tokea mwaka 1979 ila taja ni nchi gani ya Africa inauchumi mkubwa kuishinda iran na kingine despite vikwazo vijamaa vinazalisha maenginerr 250,000 kwa mwaka ndio hao wanaojenga vinu vya nyuklia na kufanya hightech reverse engineering wao wairan ni among the best makers wa drones na ballistic missile duniani mpaka Russia akaenda kununua Iran shahed 136 zile haya niambie nani huku Africa anavikwazo na anatengeneza vitu kama hivyo na kwenda kuuza russia kimsingi Iran yuko self sufficient kwenye maeneo mengi japo yapo ambayo bado ndio maana vikwazo havimsumbui ,ila kumbuka Israel.alone hawezi kupigana vita na Iran akashinda ila anategemea mgongo wa usa kufanikisha objective zake wao wenyewe wanakiri hilo .israel amezidiwa na iran kwa kila kitu na kama sio kuzidiwa huko basi ingekuwa kinu cha nyuklia cha iran kishalipuliwa siku nyingi kile kioperation uchwara cha israel hakuingiza kabisa hizo high tech f35 alizopewa na usa ktk iranian air space maana zingeshushwa kiuhalisia wacha wapigane tunaombea sana marekani afanye maamuzi haya ya kijinga akapigane ili world order ibadilike izaliwe rasmi multipolar world order.
Kama israel mwamba si aende akapigane kavu kavu na Iran kwa nini akae nyuma ya mgongo wa usa. Mwisho kama nuclear program ya iran ilishaharobiwa sasa hizi kelele za kwenda kulipuwa vinu ni za nini israel si walishashinda jamani wakaharibu programmu wewe toka assasination ya nuclear scientist ikafanya programu ife ktk taifa la watu million 90 huko kuwa watoto wamejazana kwenye mavyuo vikuu wakitoka hawa wanaingia hawa hivi vijamaa vinapenda shule sana maendeleo yanakuja ukiwa unazalisha mainjinia wakutosha utajitengenezea mwenyewe almost kila kitu.
KWA nini inazuiliwa kuwa nazo na imepigwa vikwazo?.. mbona unakua mwepesi kusahau kinachojadiliwaKorea Kaskazini siyo tishio kwa Marekani wala Ulaya. Silaha zake ni kwa ajili ya kujilinda
Israel na usa wanashida na dini na ndio maana wanapromote secularism hawataki wao taifa la kikristo au la kiislam ni hatari kwa mfumo wa dunia walioutengeneza wao,wao wanaamini kwenye secularism japo toka mwanzo zama za soviet ukumunist ilikuwa ni shida kwao baadae muslim no 2,although chinese are budhist ila bado ni threat kwao kwa kuwa wanataka kujenga mfumo wa kureplace their ruled order yao.
- Israel na nchi yoyote iliyoendelea haina shida na uislamu, ila dini ikitumika vibaya inakuwa ni njema kwenu na shida kwa wengine
- USA na Israel ni marafiki mkubwa wa baadhi ya tawala za kiislam (For over eighty years, the United States and the Kingdom of Saudi Arabia have enjoyed a strong relationship based upon mutual respect and common interests)
- As part of the 2020 Abraham Accords, the United Arab Emirates, Bahrain, Sudan, and Morocco all established normalized bilateral ties with Israel
- Maisha ya hapa TZ na baadhi ya nchi za kiaafrika ni mazuri kuliko ya wanainchi wa Iran, ndyo maana we huwezi enda huko na uka enjoy (Iran often facing criticism for its restrictions on civil liberties and political freedoms)
- IRAN BADO HAWAJAWEZA KUZALISHA SILAHA YOYOTE YA NUCLEAR (In the annual threat assessment conducted by the US intelligence community and published in March 2025, it was concluded that Iran isn't currently building a nuclear weapon but that pressure to do so has probably mounted on the country's leadership)
- USA ina uhusiano mzuri sana WA KIDIPLOMASIA na serikali ya kiislamu ya Pakistani ambayo ina silaha za NUCLEAR
Mkuu PROPAGANDA zipo kila upande wa wanao vutanaIsrael na usa wanashida na dini na ndio maana wanapromote secularism hawataki wao taifa la kikristo au la kiislam ni hatari kwa mfumo wa dunia walioutengeneza wao,wao wanaamini kwenye secularism japo toka mwanzo zama za soviet ukumunist ilikuwa ni shida kwao baadae muslim no 2,although chinese are budhist ila bado ni threat kwao kwa kuwa wanataka kujenga mfumo wa kureplace their ruled order yao.
Pakistani ni secular govt
Saudia ni monarchy govt
Iran islamic govt
Afghan islamic govt
Turkish secular govt
Vatican christian catholic administration.
Iran hakuna sehemu amesema anataka nuclear weapon hawajaamua ila wakiamua wanatengeneza na hakuna wa kumzuia .
Iran wanamaisha ya shida ni maskini hawana uhuru ndugu yangu wao kule wairan wana gdp kubwa kuliko South Africa na kuwa na world largest univercity na more than 60% ya univercity admission ni wanawake kama kula raha na uhuru ni mpaka kuwe na mabaa ya ulevi na wanawake kutembea uchi kwa kweli ni kweli hawana raha kwa kuwa hawana mabaa ya kwenda kunywa pombe.
Kwa hiyo.western values ndio msingi wa maisha bora ukiongea kiingereza we ndio unaishi maisha mazuri hii ni nadharia ya kipuuzi chinese are rich and yet hawana hio demokrasia na huo uhuru wa kimagharibi wa usa na bado wamestick to their culture na values maendeleo ni science na technologia ila sio hayo mengine ya demokrasia sijui uhuru wa kipuuzi na mfano mzuri ni china , mwisho kabisa Tehran kuna metro train africa nzima zipo pale south africa na egypt tu halafu bado unalinganisha aproach ulimwengu na neutrality sio kuwa na usa propaganda yaani wamemunagusha gadafi dikteta ila mfalme wa saudia sio dikteta kwani saudia kuna kupiga kura kuchagua mkuu wa nchi au huko UAE AU QATAR AU BAHRAIN walikosaini hio Abraham accord kuna uhuru kama iran wa kuchagua raisi wa nchi, karibu world geopolitics 101 lazima uwe na akili timamu kung'amua ya ulimwengu la sivyo utabeba propaganda na kuzifanya ukweli. Mwisho kabisa last election Iran ni mwaka jana tu ila huko kwingine kwa marafiki wa usa last election ni lini????
Israel na usa wanashida na dini na ndio maana wanapromote secularism hawataki wao taifa la kikristo au la kiislam ni hatari kwa mfumo wa dunia walioutengeneza wao,wao wanaamini kwenye secularism japo toka mwanzo zama za soviet ukumunist ilikuwa ni shida kwao baadae muslim no 2,although chinese are budhist ila bado ni threat kwao kwa kuwa wanataka kujenga mfumo wa kureplace their ruled order yao.
Pakistani ni secular govt
Saudia ni monarchy govt
Iran islamic govt
Afghan islamic govt
Turkish secular govt
Vatican christian catholic administration.
Iran hakuna sehemu amesema anataka nuclear weapon hawajaamua ila wakiamua wanatengeneza na hakuna wa kumzuia .
Iran wanamaisha ya shida ni maskini hawana uhuru ndugu yangu wao kule wairan wana gdp kubwa kuliko South Africa na kuwa na world largest univercity na more than 60% ya univercity admission ni wanawake kama kula raha na uhuru ni mpaka kuwe na mabaa ya ulevi na wanawake kutembea uchi kwa kweli ni kweli hawana raha kwa kuwa hawana mabaa ya kwenda kunywa pombe.
Kwa hiyo.western values ndio msingi wa maisha bora ukiongea kiingereza we ndio unaishi maisha mazuri hii ni nadharia ya kipuuzi chinese are rich and yet hawana hio demokrasia na huo uhuru wa kimagharibi wa usa na bado wamestick to their culture na values maendeleo ni science na technologia ila sio hayo mengine ya demokrasia sijui uhuru wa kipuuzi na mfano mzuri ni china , mwisho kabisa Tehran kuna metro train africa nzima zipo pale south africa na egypt tu halafu bado unalinganisha aproach ulimwengu na neutrality sio kuwa na usa propaganda yaani wamemunagusha gadafi dikteta ila mfalme wa saudia sio dikteta kwani saudia kuna kupiga kura kuchagua mkuu wa nchi au huko UAE AU QATAR AU BAHRAIN walikosaini hio Abraham accord kuna uhuru kama iran wa kuchagua raisi wa nchi, karibu world geopolitics 101 lazima uwe na akili timamu kung'amua ya ulimwengu la sivyo utabeba propaganda na kuzifanya ukweli. Mwisho kabisa last election Iran ni mwaka jana tu ila huko kwingine kwa marafiki wa usa last election ni lini????
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Panga ni silaha ya kawaida Sana ukikutana na mtu kaibeba, wala hutarudi nyuma kwa hofu.
Ila ukimwona kichaa kabeba anakuja usawa wako hata Kama Hana habari na wewe sidhani Kama utasubiri akukaribie!
Dawa ni kuhakikisha vichaa hawabebi mapanga hata Kama hawakati watu.
it will never happen, Israel maintains military supremacy. Besides Israel's operational and intelligence advantage over Iran, it also has a nuclear deterrent, experts said. Israel is widely believed to possess nuclear weapons, with the Washington-based Nuclear Threat Initiative estimating that Israel has around 90 nuclear warheads.Mkuu, hii ni comment ya Mwaka! Lakini nia ya Iran kumwangamiza shetani Mkubwa ( Marekani) na Shetani mdogo ( Israel) Iko wazi mno! Wamesema siku zote, tutaifuta Israel chini ya jua! Ukiwa na Nuclear una uwezo kabisa wa kufanya hivyo!
Huo ni mtazamo tu wa kibaguzi kwa walio wengi, mhimu kwanza tujiulize Kwanini Iran kafikia hatua hiyo ya kusapoti hivyo vikundi??,,jibu ni kuwa kajiwekea mikakati ya kujilinda yeye na hao washirika wake,na hiyo ni baada ya kuchokozwa na pengine kupigwa kwa uonevu tu toka Israeli na washirika wake wa magharibi,,kwakuwa ye hataki uonevu hasa inayofanywa kwa wapalestina, Lebanon na kwingineko,,hivyo ana haki ya kujilinda,kujitetea nk,,Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu
Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
Huo ni mtazamo tu wa kibaguzi kwa walio wengi, mhimu kwanza tujiulize Kwanini Iran kafikia hatua hiyo ya kusapoti hivyo vikundi??,,jibu ni kuwa kajiwekea mikakati ya kujilinda yeye na hao washirika wake,na hiyo ni baada ya kuchokozwa na pengine kupigwa kwa uonevu tu toka Israeli na washirika wake wa magharibi,,kwakuwa ye hataki uonevu hasa inayofanywa kwa wapalestina, Lebanon na kwingineko,,hivyo ana haki ya kujilinda,kujitetea nk,,
Kwa upande mwingine nchi za magharibi zinaona Iran ni tishio katika ukanda huo,wanaona atatibua maslahi yao hasa yakiuchumi na kisiasa, Israeli anatumika tu kimaslahi pale Middle East,mataifa mengine ya kiarabu yameshazingirwa,iran kabaki na msimamo wake.
Niambie ni ipi,?Mkuu kama unajua historia ya Iran, ni lini alichokozwa na Israel....Nadhani hata hujui kabisa Ideology/Theology inayoisukuma Iran....
Niambie ni ipi,?