Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,702
- 6,334
Ondoa shaka, hawa unaona wanaropoka bila hoja za msingi baada ya miaka 10 - 15 wakishaturn 30 - 35 years wataacha utoto... Trust me ukiona mtu hoja zake zimebase kwenye dini, huyo kama si mtoto, basi ni mwendawazimu