DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,918
- 3,066
😛😀kumbe usalama wa Ayatollah Ruhoulla Khomeni ulikuwa ni kukimbilia kwa ma kafiri ( secular democracy) kuliko fellow Islamic countries ?, now it makes senseSidhani nina muda huo....tafuta na soma mwenyewe Maandishi ya Ayatollah Ruhoulla Khomeni "Islamic Government" Maana huyu toka tu aliporudi toka Paris ndiye mwanzilishi wa hii Ideology/Theology inayoisukuma Iran leo, na Kama wewe ni msomaji tafuta Kitabu hiki..Rasfanjani aliandika kitabu kinaitwa "Israel and Beloved Jerusalem" Chuki yao inaanza kwa tafsri yao ya Quaran....Hata Leo Wayahudi wakiondoka hapo na kutengeza nchi baharini.....Ideology yao inataka wasiwepo nchini ya jua!

, lakini wakikimbilia magharibi kwa ma kafiri wana enjoy kuzidi