Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,291
- 10,192
Yaptecno gani, lg gani, htc gani? hizo lg na Htc ulizikagua sio clone?
Yaptecno gani, lg gani, htc gani? hizo lg na Htc ulizikagua sio clone?
Wewe tecno ni nyingi usiangalie kwa daresalam na sisi tulio mbali kabosa na daresalam kama tarime katika watu 1000 sumsung 3mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Upo sahihi kabisa mkuumkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Kwani GSM Arena ndio wanapima ubora wa simu?yaani watu wanajifariji sana....tecno nayo ya kusema
ukiingia GSM arena hyo tecno huikuti sijui kwa nini
Ninatumia s4 lte Ina 13mp na Ina Kamera nzuri kuliko hio c9 uisemayo na hata hizo phantom zenu.Labda wa huko kwenu. Samsung yenye kuifikia Tecno C9 ubora wa camera unaijua ni bei gani ? Na ni watu wangap wanao uwezo wa kununua hizo simu za bei kubwa hapa bongo ? Ukijibu maswali hayo utakuwa umeshajua asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia sana simu za Kampuni ipi kati ya Tecno na Samsung.
Yaani hizi ndio picha umekaa unatamba humu c9 c9 c9 ndio unatuletea mipicha ambayo hata Nokia n8 ni kali kuliko hizo.
Simu ya zamani just Google it then tazama uwezo wake wa kameraHiyo nokia n.8 inapatkana wap
Sasa lawama mnazitoa wapi ilihali hamjui kutumia hizo camera?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana nimepiga out of focus kwani mimi si mtaalam wa kupiga picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bado Tecno ipo juu kwa Samsung S series?s5 ni sh.ngapi kwa sasa? mpya
megapixel moja?Picha ya Tecno J 7 Boom![]()
8MPmegapixel moja?
hata hii megapixel moja tu angalia properties za picha yako
Na huawei pia.Kwa upande wa HTC naona kuna ukweli