Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Kusema 50% watakua samsung kwa Tanzania hapana, Samsung amelenga haswa soko la Asia na South Africa kidogo.
Tecno amekazana Afrika, obviusly utakutana na watu wengi wenye tecno kushinda Samsung.

NB. Hata itel ni tecno
 
ndio hakuna mtu alie upload hapa pic hio

1483334474472.jpg
1483334486307.jpg
 
kama simu hauitunzi lazms ubora wa cam utapungua. Manake utakua unakwaruza kioo cha camera na kusababisha lens isiweze kuona vzur... Hapo ndio utasema cam imepungua ubora kitu ambacho ni co kwel...
 
mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Na ww tembea barabaran ukiwa unafanya research tu kwenye magari.utakuta magari mengi ni toyota.je toyota ni bora kuliko BMW,Benz,audi na mengneyo? Samsung wanazo wengi coz ni brand kubwa ambayo ina jina tayar. Lakin kuna simu nyingi tu ambazo samsung anasubir,kina infinix,oppo,zenfon. Techno anakuja juu sana kwenye flagship zake in terms of battery life,camera na other features,jarb phantom 6 and phantom 6 plus uone
 
Kingine katika camera ukijua kutumia focus na kufanya baadha ya settings utajikuta na picha nzuri tu.
 
Hata ya kwang lg inasumbua camera sana wakat mwanzon nainunua ilikuwa na camera nzuri sana
 
Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama ile grass iliyo juu ya kama haijakwaluzika.
Unakuta sometime ukimpiga mtu picha anatoka kama wamemmwagiwa majivu.

Hadi inafikia hatua ukiona wenzako wanapiga picha ww unaona aibu kutoa simu.

Ila naona sumsang simu zao zinafanya vizuri kidogo nina note 4 saizi imemaliza mwaka ila ubora wake camera upo vile vile.

Kitu windowphone mkuu nokia lumia 530.....kamera muraa sema App zake ndo wamezengua sjajua kwann?
 
Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama ile grass iliyo juu ya kama haijakwaluzika.
Unakuta sometime ukimpiga mtu picha anatoka kama wamemmwagiwa majivu.

Hadi inafikia hatua ukiona wenzako wanapiga picha ww unaona aibu kutoa simu.

Ila naona sumsang simu zao zinafanya vizuri kidogo nina note 4 saizi imemaliza mwaka ila ubora wake camera upo vile vile.
Mkuu unauza sim za Samsung naona unafanya matangazo ya Biashara aisee
 
zako wewe hata 1 megapixel hazijafika ni 576x1024 na sijui umepiga na camera 360? mbona picha mbaya hivyo?


, na Hii ndio camera ya C9? ukiangalia tu pic zangu za juu utajua nini kitafuatia
Mkuu CHIEF MKWAWA hivi unapimaje hiyo pixel katika picha iliyopigwa?
 
Mkuu unauza sim za Samsung naona unafanya matangazo ya Biashara aisee
Sio matangazo ya biashara ila lazima niseme ukweli simu zote nilizo tumia na hapa nilipo sasa.
Na lengo ni kwamba hata hao wanao tengeneza hizo simu nao wajitathimini upya kwasbabu tunapo kaa kimya ndipo tunapo zidi kufuga ubovu.
 
Mkuu CHIEF MKWAWA hivi unapimaje hiyo pixel katika picha iliyopigwa?
unaangalia details au properties za hio picha,

njia rahisi tumia gallery tu inayokuja na simu hold picha bonyeza vile vidoti vitatu halafu chagua details utaona upanda.na urefu wa picha kwa mfumo wa pixel
 
Wemye tecno ni wwng kilko samsung na sbb ni hii tecno bei zao ni za kawaida ht km cm onauwezo mkbwa wanataka kumshusha samsung lkn wanaotumia samsung ni wachache sabb bei ni juu, cm yenye propety sawa lkn bei ni tofaut pia ubora wa kampuno pia
 
mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
yaani watu wanajifariji sana....tecno nayo ya kusema
ukiingia GSM arena hyo tecno huikuti sijui kwa nini
 
Back
Top Bottom