Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

Chief-Mkwawa, post: 19888659, member: 44606"]battery linatoka? inawezekana limelegea.

na ikirudi pale unapowasha inazima tena? au unaendelea kutumia?

Nimeangalia ni non removable battery[/QUOTE]
1. angalia kama kuna updates, nenda setting halafu about halafu software updates inaweza kusolve

2. pia hujaeka kitu ndio hilo tatizo likaanza?
 
Nimeangalia ni non removable battery
1. angalia kama kuna updates, nenda setting halafu about halafu software updates inaweza kusolve

2. pia hujaeka kitu ndio hilo tatizo likaanza?[/QUOTE]
Hakuna app mpya niliyoweka
 
Nimeangalia ni non removable battery
1. angalia kama kuna updates, nenda setting halafu about halafu software updates inaweza kusolve

2. pia hujaeka kitu ndio hilo tatizo likaanza?[/QUOTE]

Hakuna update mkuu
Screenshot_2017-02-27-08-14-05.png
 
1. angalia kama kuna updates, nenda setting halafu about halafu software updates inaweza kusolve

2. pia hujaeka kitu ndio hilo tatizo likaanza?

Hakuna update mkuu View attachment 474915[/QUOTE]
hapo sijui tena nikusaidiaje, option iliobakia ni kureset simu ila hio itafuta kila kitu, kama unaweza kubackup hifadhi vitu vyako then reset halafu virudishe
 
hapo sijui tena nikusaidiaje, option iliobakia ni kureset simu ila hio itafuta kila kitu, kama unaweza kubackup hifadhi vitu vyako then reset halafu virudishe[/QUOTE]

Ok Asante mkuu... Kwa hiyo si tatizo la betri... Maana nilihisi labda betri imechoka maana ina simu ina zaidi ya mwaka
 
hapo sijui tena nikusaidiaje, option iliobakia ni kureset simu ila hio itafuta kila kitu, kama unaweza kubackup hifadhi vitu vyako then reset halafu virudishe

Ok Asante mkuu... Kwa hiyo si tatizo la betri... Maana nilihisi labda betri imechoka maana ina simu ina zaidi ya mwaka[/QUOTE]
upo uwezekano ni tatizo la battery ila ni vyema kwanza kuangalia kama ni tatizo la software ikishindikana ndio unakuja kwenye hardware
 
Back
Top Bottom