Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama ile grass iliyo juu ya kama haijakwaluzika.
Unakuta sometime ukimpiga mtu picha anatoka kama wamemmwagiwa majivu.

Hadi inafikia hatua ukiona wenzako wanapiga picha ww unaona aibu kutoa simu.

Ila naona sumsang simu zao zinafanya vizuri kidogo nina note 4 saizi imemaliza mwaka ila ubora wake camera upo vile vile.
Ni kweli hata mm nimeshuhudia hlo. Yecno c8 ikiw mpya camera nzur, ikikaa zaid inafifia. Iven c9 ....
 
pink tint walisha i solve na software update kama kumbukumbu zangu zipo sahihi
Ni kweli mkuu, lakini kuna baadhi ya simu ata baada ya software updates zilibakia na hilo tatizo na baadhi ya HTC ONE hazikupata hizo updates kutokana na wingi wa variants.
 
mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Labda wa huko kwenu. Samsung yenye kuifikia Tecno C9 ubora wa camera unaijua ni bei gani ? Na ni watu wangap wanao uwezo wa kununua hizo simu za bei kubwa hapa bongo ? Ukijibu maswali hayo utakuwa umeshajua asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia sana simu za Kampuni ipi kati ya Tecno na Samsung.
 
Ww umefanya research Masaki, O'bay, K'ndon, lkn hujafanya Buguruni, Tabata, Kigogo, Mbagala na mikoani.
Tecno, tecno, tecno tu
 
Labda wa huko kwenu. Samsung yenye kuifikia Tecno C9 ubora wa camera unaijua ni bei gani ? Na ni watu wangap wanao uwezo wa kununua hizo simu za bei kubwa hapa bongo ? Ukijibu maswali hayo utakuwa umeshajua asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia sana simu za Kampuni ipi kati ya Tecno na Samsung.
unayo c9? nina samsung nimenunua laki 3 hebu piga picha earphone halafu upload full image bila kuifanyia modification na mimi pia nitapiga
 
Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama ile grass iliyo juu ya kama haijakwaluzika.
Unakuta sometime ukimpiga mtu picha anatoka kama wamemmwagiwa majivu.

Hadi inafikia hatua ukiona wenzako wanapiga picha ww unaona aibu kutoa simu.

Ila naona sumsang simu zao zinafanya vizuri kidogo nina note 4 saizi imemaliza mwaka ila ubora wake camera upo vile vile.
Siku nyingi zinapita masaa nayo yanasonga,,miaka nayo inakatika...Hata mwaka huu tuanze kubishana aina ya simu,,camera,,ubora,,,...Tanzania hii katu maisha hayawezi kuacha kua magumu...
 
mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Wanaweza kua wengi wenye tekno ila angalia wanavyojitahid kulificha neno tekno hasa wanapowasiliana hadi huruma ujue
 
Ofcourse, hapa nina Samsung na Tecno C9 natumia zote lakina kwenye swala la picha C9 ndo mwisho wa yote.
Hapo sii mpya ngoja ukae nayo angalau miezi 6 uje uone kama ubora utakuwa ni huo huo.
 
Ofcourse, hapa nina Samsung na Tecno C9 natumia zote lakina kwenye swala la picha C9 ndo mwisho wa yote.
sitaki maneno matupu, piga picha kitu chochote common mfano coin ya 500, 200 au 100, halafu upload hapa na mimi nitatumia simu kama s5 au j series za samsung ambazo zote hizi ni bei rahisi au bei sawa na c9 then tutajua. hatutaki majigambo yasiyo na ushahidi, picha full upige usifanye modification, ukifanya modification nitajua.
 
Fanya hivo maana nataka simu yenye camera Kali ninunue
 
sitaki maneno matupu, piga picha kitu chochote common mfano coin ya 500, 200 au 100, halafu upload hapa na mimi nitatumia simu kama s5 au j series za samsung ambazo zote hizi ni bei rahisi au bei sawa na c9 then tutajua. hatutaki majigambo yasiyo na ushahidi, picha full upige usifanye modification, ukifanya modification nitajua.
Ha haaaa, eti maneno matupu.....!
 
Labda wa huko kwenu. Samsung yenye kuifikia Tecno C9 ubora wa camera unaijua ni bei gani ? Na ni watu wangap wanao uwezo wa kununua hizo simu za bei kubwa hapa bongo ? Ukijibu maswali hayo utakuwa umeshajua asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia sana simu za Kampuni ipi kati ya Tecno na Samsung.
Huwa nawashangaa tu watu wanaofagilia samsung, hebu niwaulize mnatumia za laki 6 kwenda juu? Maana za bei chini ya hapo ni kama Nokia tu za enzi nzile yaani hazivutii zina muonekano mbaya .lakini angalia techno or huawei ya laki 4 to 5 inafanya vizuri kama Samsung ya laki 7 kwenda juu
 
Jamaa mie nina kitu PTZ mini, miaka miwili na miezi mitatu sasa camera inafotoa as if nimeitoa dukani leo. Pigeni poyoyo hadi mchoke ila Techno kwenye camera na charge wapo vizuri kushinda hao wengine ma giant wa majina.
 
Huwa nawashangaa tu watu wanaofagilia samsung, hebu niwaulize mnatumia za laki 6 kwenda juu? Maana za bei chini ya hapo ni kama Nokia tu za enzi nzile yaani hazivutii zina muonekano mbaya .lakini angalia techno or huawei ya laki 4 to 5 inafanya vizuri kama Samsung ya laki 7 kwenda juu
Umenena vyema mkuu, Samsung ni simu nzuri lakini ni za bei za juu compared to Tecno phones. Wengine humu wanabisha tu ili siku iende lakini ukweli ndio huo.
 
Ofcourse, hapa nina Samsung na Tecno C9 natumia zote lakina kwenye swala la picha C9 ndo mwisho wa yote.
Ndugu hata mimi nimetumia Samsung nilichogundua ni misifa tu simu Kali ya Samsung ni bei ghali k 6 kwenda juu wakati unapata techno kama w5 inakupa satisfaction hzo yzo za Samsung kwa laki 3+ na bado camera ni nzuri zaidi ya Samsung
 
Back
Top Bottom