euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,741
- 4,081
wadau naombeni msaada nina htc desire bt tangu ninunue nlikuwa napga picha tu vzuri lakn baadae ikawa haikubali kabisa kupiga picha zote mbli mpaka ile ya mbele na nlipojaribu kurestore ndo mpaka ile icon ya kamera imetoka wala hainekani so naomben msaada wenu kwa wajuzi wa mambo