Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

Jamaa mie nina kitu PTZ mini, miaka miwili na miezi mitatu sasa camera inafotoa as if nimeitoa dukani leo. Pigeni poyoyo hadi mchoke ila Techno kwenye camera na charge wapo vizuri kushinda hao wengine ma giant wa majina.
Wataelewa tu, Tecno kwa CAMERA haishikiki.
 
Ndugu hata mimi nimetumia Samsung nilichogundua ni misifa tu simu Kali ya Samsung ni bei ghali k 6 kwenda juu wakati unapata techno kama w5 inakupa satisfaction hzo yzo za Samsung kwa laki 3+ na bado camera ni nzuri zaidi ya Samsung
Huo ndo ukweli.
 
Kitu kingine ambacho hamjui, hizi simu zinatofautiana resolutions kwenye screen, resolution inachangia sana kuona uzuri wa picha, Samsung wana vio vyenye resolutions kubwa na rangi nyingi, ndio maana kama j5 camera yake ni 8 megapixel ila picha ukipiga na kuiangalia kwenye j5 unaiona ni kali balaaa, wakati tecno kama w5 yenyewe ina camera ya 13 megapixel lakini picha ukiiangalia kwenye hiyo simu ina low resolution, therefore less color depth. To prove this, piga picha kwa kutumia Samsung halafu hamishia kwenye kifaa kingine kama computer au simu nyingine then linganisha muonekano.

Hata hivyo software pia inahusika sana kitengeneza picha, Samsung wako juu kwenye software
 
a0a82eee30856a26cd51485a16e040d6.jpg
b85d75a873fcba531ffb58f4a84a05fc.jpg
0c71d4f583699d7272195784dbde32dc.jpg


Haya picha za C9 hizo
 
unayo c9? nina samsung nimenunua laki 3 hebu piga picha earphone halafu upload full image bila kuifanyia modification na mimi pia nitapiga
Iangalie hiyo image nimepiga ndani(indoor) kwa c9
 

Attachments

  • IMG_20170101_104853.jpg
    IMG_20170101_104853.jpg
    273.6 KB · Views: 118
Iangalie hiyo image nimepiga ndani(indoor) kwa c9
mkuu picha yako ipo out of focus kwa kitu nilichotarajia pengine nitakuonea kwa hapa unaweza piga picha coin yoyote ya 500 au ya 200?

hii picha yangu ya earphone kwa HDR full


na hii crop comparison baina ya s5 na c9, nimecrop pin ya kuingizia kwenye simu
bkFL3vi.jpg


picha yako haikuwa full mp 13 yaani 4128 x 3096 bali ikawa 3000x2000 mara nyengine piga full,
 
Kitu kingine ambacho hamjui, hizi simu zinatofautiana resolutions kwenye screen, resolution inachangia sana kuona uzuri wa picha, Samsung wana vio vyenye resolutions kubwa na rangi nyingi, ndio maana kama j5 camera yake ni 8 megapixel ila picha ukipiga na kuiangalia kwenye j5 unaiona ni kali balaaa, wakati tecno kama w5 yenyewe ina camera ya 13 megapixel lakini picha ukiiangalia kwenye hiyo simu ina low resolution, therefore less color depth. To prove this, piga picha kwa kutumia Samsung halafu hamishia kwenye kifaa kingine kama computer au simu nyingine then linganisha muonekano.

Hata hivyo software pia inahusika sana kitengeneza picha, Samsung wako juu kwenye software
j5 ina hd c9 ni full hd haikutakiwa ive vice versa?
 
Huwa nawashangaa tu watu wanaofagilia samsung, hebu niwaulize mnatumia za laki 6 kwenda juu? Maana za bei chini ya hapo ni kama Nokia tu za enzi nzile yaani hazivutii zina muonekano mbaya .lakini angalia techno or huawei ya laki 4 to 5 inafanya vizuri kama Samsung ya laki 7 kwenda juu
samsung ipi umenunua bei ipi? tecno ipi umenunua bei ipi? msiwe mnaongea samsung bila kutaja model na usiseme tecno au huawei bila kutaja model, muda mwingine baadhi ya tecno zenye specs ndogo huuzwa ghali kuliko simu za brand kubwa
 
Ulinunua cm fake sio Kweli mbona mimi natumia techno phantom 6+ikopoa
 
Tumia Infinix,camera haizeeki kama hizo ulizotaja
 
mkuu acha kujipa moyo tembea barabarani huku ukifanya research ndogo, angalia watu wamebeba simu gani mkononi, I am sure by the end of the day utagundua zaido ya 50% ya watu uliopishana nao wamebeba samsung na siyo tecno
Kweli kabisa
 
mkuu picha yako ipo out of focus kwa kitu nilichotarajia pengine nitakuonea kwa hapa unaweza piga picha coin yoyote ya 500 au ya 200?

hii picha yangu ya earphone kwa HDR full


na hii crop comparison baina ya s5 na c9, nimecrop pin ya kuingizia kwenye simu
bkFL3vi.jpg


picha yako haikuwa full mp 13 yaani 4128 x 3096 bali ikawa 3000x2000 mara nyengine piga full,

Yawezekana nimepiga out of focus kwani mimi si mtaalam wa kupiga picha.
 
Yawezekana nimepiga out of focus kwani mimi si mtaalam wa kupiga picha.
umeona lakini hizo quality? hakuna hata comparison, japo yangu nimeizoom zaidi (pin yake inaonekana kubwa) na yako sijaizoom sana lakini still kwenye s5 pin ina quality kubwa.
 
Back
Top Bottom