Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

Chief Mkwawa hii Funguo, kwa C9

hii hapa funguo kwangu full image

na hii hapa crop ya s5 na c9
py5AhV6.jpg

mkuu nafkiri unaona mwenyewe level ya hizo camera
 
s5 ni sh.ngapi kwa sasa? mpya
300,000 hadi 500,000 inategemea na stock na muuzaji, mimi yangu nilinunua 300,000 ilikuwa almost mpya,

ila ikifika 400,000 hadi 500,000 fikiria mara mbili mbili sababu kuna note 4 na s6 unaweza zipata bei hio.
 
Yawezekana nimepiga out of focus kwani mimi si mtaalam wa kupiga picha.
Rudia kupiga pic kichwa cha pin km yeye alivofanya. Siku zote image iliyo karibu huwa ni bora kuliko ile iliyo mbali
 
ukumbuke yangu ndio ipo mbali (angalia original pic) sema picha zote tatu za watu wa c9 sio original 13mp, ukiangalia properties zake ni around pixel 2432 x 1368, hizi ukizidisha unapata pixel 3,326,976 ambayo ni kama megapixel 3 hivi (megapixel humaanisha pixel milioni moja)

hivyo either wamezimodify hizo picha kwa kuzicrop au kuziedit au software ya camera ya tecno haitoi full 13mp au simu haina 13mp
 
Hapo nimekuelewa.
 
Wengi wenu mnachoongelea kuhusu samsung vs tecno ndo tulivyokuwa tunongelea enzi hizo kuhusu iphone vs samsung enzi hizo samsung inaiga kilakitu kutoka iphone ila kwenye quality samsung ilikuwa nyuma balaa.. Ila tuwape mda tecno sasa hv naona hadi matangazo yao kwenye EPL
 
Wanaweza kua wengi wenye tekno ila angalia wanavyojitahid kulificha neno tekno hasa wanapowasiliana hadi huruma ujue
Tatizo Samsung zinamaumbo ya kikekike mm bora nitumie vodaphone kuliko Samsung sizipendi kabisa sasa najiandaa kununua tecno c9 sitaki ulimbukeni wa kujionyesha kwa bei ya simu wakati wengi wenye hizo simu awajui hata kuzi tumia
 
Hahah ni maisha tu ndugu yangu,hata wenye passo wakimuona mwenye bmw wanasemaga hivo hivo.Endelea kujitia moyo mkuu.
 
4364x2736
ukumbuke yangu ndio ipo mbali (angalia original pic) sema picha zote tatu za watu wa c9 sio original 13mp, ukiangalia properties zake ni around pixel 2432 x 1368, hizi ukizidisha unapata pixel 3,326,976 ambayo ni kama megapixel 3 hivi (megapixel humaanisha pixel milioni moja)

hivyo either wamezimodify hizo picha kwa kuzicrop au kuziedit au software ya camera ya tecno haitoi full 13mp au simu haina 13mp
 
I mean Tecno c9 inatoa picha yenye pixel 4864x2736
ukumbuke yangu ndio ipo mbali (angalia original pic) sema picha zote tatu za watu wa c9 sio original 13mp, ukiangalia properties zake ni around pixel 2432 x 1368, hizi ukizidisha unapata pixel 3,326,976 ambayo ni kama megapixel 3 hivi (megapixel humaanisha pixel milioni moja)

hivyo either wamezimodify hizo picha kwa kuzicrop au kuziedit au software ya camera ya tecno haitoi full 13mp au simu haina 13mp
 
Katika simu zenye ubora mbaya wa camera kwa sasa ni Microsoft Lumia. Enzi hizo za Nokia walijitahidi kuwa na camera zenye ubora mzuri wa picha. mfano mzuri ni Lumia 520, ingawa haikuwa na flashlight lakini sehemu zenye mwanga wa kutosha ilitoa picha zenye ubora mzuri tu, except haikuwa na autofocus na flashlight ambayo ingefanya vizuri zaidi kwenye lowlight conditions. Lakini highend zinfanya vizuri naeza kutetea kwa hilo, labda walisqueeze quality kwenye baadhi ya hardware ili iendane na price yenye unafuu sokoni.
 
Back
Top Bottom