Hapo sawa jamaan mana kama mara tatu hivi nilikuquote kimya nikasema labda ni ile ban tu jamaan niliyokusababishia
Aisee ebu mtake radhi geni huyo ni mdada tena wa haja mkuu
Sawa mkuu
Msanii nisiye na single et[emoji4] [emoji4] ananiona ndo walewale...!!!mabonge nyanya [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
antonio msanii tu
Yani nimemtamnije mpaka mate yamenitoka [emoji39] [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakujui ujue mpaka Antonio kakutamani kusikia mdada wa haja
Thread [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwisho wa siku aje akuwekee thread woiii
Mkuu naijua sana nipo kitambo sana humu.. Angalia mwaka wa kujiungaMgeni au mkuu[emoji3]
Hii ndio JF kwengine fotostudio[emoji3]
Najua chura yupo genumeona eeeh...
masuala ya kuja kuninanga hapa mtandaoni mie akuuhh...
mara chura sina,mara nna vijipu uchungu!!!
Miziwa mikubwa si ndo yenyewe iyo. Watoto hawawezi kujua ladha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara una miziwa hiyoooo
Point!!!Sema tu hunaigundua jf ina watu wazima wasiojitambua..
Inatakiwa uwe makin sana.
Siku ukiona umepatana na mtu humu na akaanza kukupa stor za wengne aliokutana nao humu humu huyo mkimbie maana ipo siku hata ww atakusimulia kwingne...
[emoji2] [emoji2] yalishakukuta nn
Pale nmeongea kama ushauri sio kwamba mm ndio yalinipata..kwa hayo yaliyokukuta
sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji2] [emoji2]Ok vzri
mimi pia hayajawahi nikuta