Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

kuna mambo ya kawaida sana kwenye jamii kama kulalana but humu ukimlala mwanamke akikupiga kibuti unamtangaza kwa mabaya

mbona wengine humu tumepigwa vibuti tumevumilia tu
wewe ndio mwanaume sio wale wanaume uchwara wakipigwa vibuti wanakuja kulialia humu na kasoro wakizitoa kilo mbili
 
Back
Top Bottom