Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
[emoji15] [emoji15] tutaogopa hata kulike post zako weka ututishe
Wewe umeanza lini uoga huo?!
[emoji15] [emoji15] tutaogopa hata kulike post zako weka ututishe
Usifanye hivo bhana.... ntakuhonga ka Vitz wallahWewe ntavujisha Pm zako,ohoooo!
Waone jinsi nilivyokufumania huko
Mdada wa haja [emoji39] [emoji39]Aisee ebu mtake radhi geni huyo ni mdada tena wa haja mkuu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] pole ndugu mgirikiSema tu hunaigundua jf ina watu wazima wasiojitambua..
Inatakiwa uwe makin sana.
Siku ukiona umepatana na mtu humu na akaanza kukupa stor za wengne aliokutana nao humu humu huyo mkimbie maana ipo siku hata ww atakusimulia kwingne...
[emoji2] [emoji2] yalishakukuta nn
Pole yanini?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] pole ndugu mgiriki
[emoji15]Mdada wa haja [emoji39] [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakujui ujue mpaka Antonio kakutamani kusikia mdada wa hajamuambia huyoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwisho wa siku aje akuwekee thread woiii[emoji4] [emoji4] ananiona ndo walewale...!!!mabonge nyanya [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
antonio msanii tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara una miziwa hiyooooumeona eeeh...
masuala ya kuja kuninanga hapa mtandaoni mie akuuhh...
mara chura sina,mara nna vijipu uchungu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nimepata tenda ya jeshi[emoji3] [emoji3] [emoji3] kuwanyonyesha
sent from motorola bapa and nokia jeneza