Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Tayari nishamjibunawe mjibu kimtego tu
Tayari nishamjibunawe mjibu kimtego tu
Ngoja nipike ugali mweusi best
Ngoja nipike ugali mweusi best
Baki huko hali mbaya humu ndani !
Niambie pleaseBaki huko hali mbaya humu ndani !
Hawajui utamu wake wajinga haoWenzio hawautaki.![]()
![]()
![]()
Bada nini hiloNgoja nipike ugali mweusi best
Siku hizi huna aibu tena kama zamani enh?![]()
ndio usimvue nguo hakuna namnaam...uchune tu
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ngoja nikufanyie majaribio nione...![]()
ishaishaa...!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Love u PrincessHivi Kwani ukimla mtu lazima ulipie hapohapo??
Bada ndo nini shunieBada nini hilo
Si ugali mweusi kwetu ndio tunaita jina hilo ugali wa muhogoBada ndo nini shunie
Ugali wa muhogo ule wa kusagwa kwenye maweSi ugali mweusi kwetu ndio tunaita jina hilo ugali wa muhogo