Ndo inatakiwa ivyo na haina haja ya kutoleana mbovu. Mi kuna watu nafahamiana nao umu ila cwezi kabisa kumkosea heshima kwa kuanika mambo yake ili nitafute Kikisana..tutongozane,tulane,tukimbiane...kimya kimya
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Kikubwa ukishamjua mtu ana mambo ya kitoto ebu mpuuze na epuka mazoeaHalaf hana lolote sasa mtu kama huyo
Ndio inavyotakiwa Antonio wachache sana tunajuana hakuna faida ya kumuanika mwenzio unapata faida ganiNdo inatakiwa ivyo na haina haja ya kutoleana mbovu. Mi kuna watu nafahamiana nao umu ila cwezi kabisa kumkosea heshima kwa kuanika mambo yake ili nitafute Kiki
Hivyo best uliowala wote unawafichia siri.Na shobo hakuna. Ndo uanaume huo sasa maana sifa ya mwanaume ni kuwa msiri na mambo ya ndani

Hao tunasema ni makubwa jingaushamba mtupu....
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Kweli kabisaKikubwa ukishamjua mtu ana mambo ya kitoto ebu mpuuze na epuka mazoea
Umbea tu na ujinga shunie alafu hizi tabia za ivyo siku hizi zimekua nyingi sana asa kwa wavulanaNdio inavyotakiwa Antonio wachache sana tunajuana hakuna faida ya kumuanika mwenzio unapata faida gani
mi nasema kuna wanaume ni wajingaaaa mnooooNdo inatakiwa ivyo na haina haja ya kutoleana mbovu. Mi kuna watu nafahamiana nao umu ila cwezi kabisa kumkosea heshima kwa kuanika mambo yake ili nitafute Kiki
Sa nitafanyaje best maana tulitongozana kwa siri na kulana kwa siri so ni lazima nitunze siriHivyo best uliowala wote unawafichia siri.![]()
Wapo wengi sana siku hizi wanapenda mambo ya kikemi nasema kuna wanaume ni wajingaaaa mnoooo
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Ongezea ni wapumbavu sanami nasema kuna wanaume ni wajingaaaa mnoooo
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Consider it donekampime mkojo kwa mkemia mkuu![]()
![]()
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Huo ndio uanaume best. Mana wengine wanatangaza eti si unakaa sehemu fulani. Lol. Ya nini yote hayo kwa sababu kama k si ulishapewa shida iko wapi sasa.Sa nitafanyaje best maana tulitongozana kwa siri na kulana kwa siri so ni lazima nitunze siri
Hata kama ulimuassist kwa siri?![]()
![]()
hata kama ulimkopa kwa siri pia..!!tusitendane live mbele ya public inaumaaa
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Sanaaa ila wanatufunza tuzidishe umakiniUmbea tu na ujinga shunie alafu hizi tabia za ivyo siku hizi zimekua nyingi sana asa kwa wavulana
Safiiiii na maisha mengine yanaendeleaSa nitafanyaje best maana tulitongozana kwa siri na kulana kwa siri so ni lazima nitunze siri
Na yeye kama dushe kashatoa kama kuchunguliana wote mmechunguliana ujinga tuuHuo ndio uanaume best. Mana wengine wanatangaza eti si unakaa sehemu fulani. Lol. Ya nini yote hayo kwa sababu kama k si ulishapewa shida iko wapi sasa.