Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,482
Uwiii. Bada na mchuzi wa nyama ya kuku ulojazwa ndimu. Hatari sana dada.Bada nini hilo
Uwiii. Bada na mchuzi wa nyama ya kuku ulojazwa ndimu. Hatari sana dada.Bada nini hilo
Mkuu vp tena? Kuna tatizo tena kati yangu na wewe?
Naona kumbe mnaujua vizuri wadada wa chumbageni tngUwiii. Bada na mchuzi wa nyama ya kuku ulojazwa ndimu. Hatari sana dada.
kweli bana![]()
![]()
sasa kukataliwa ndo uniharibie wenzio wasinile...?!!
wanaume mkitula kaeni tu kimyaa jamanii...mtafanya wenzenu tuwanyimee
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Sasa kusema wanaume niwapumbavu unamaanisha nini labda .Mkuu vp tena? Kuna tatizo tena kati yangu na wewe?
Pole best sio kwa kupatwa huko.Mkuu vp tena? Kuna tatizo tena kati yangu na wewe?

Unajua nilikua naongea nini na gen? Usipende kuingilia yasiyokuhusu mkuu na pia mi nae ni mwanaume
Halaf uwe chuku chuku woiiiUwiii. Bada na mchuzi wa nyama ya kuku ulojazwa ndimu. Hatari sana dada.

Ata sijapatwa ila nimeshangaa tu huo mkurupuko maana ata simjui na sina mazoea naePole best sio kwa kupatwa huko.![]()
Vyovyote vile ata ukitwangwa lakini ni unga wa muhogoUgali wa muhogo ule wa kusagwa kwenye mawe
Poteza kukaa kimya ni jibu toshaMkuu vp tena? Kuna tatizo tena kati yangu na wewe?
Aiseee umenikumbusha samaki mchemsho na pilipili alafu uwepo huo msosiVyovyote vile ata ukitwangwa lakini ni unga wa muhogo
Sasa yasonihusu siungeandika chumbani kwako ???umeandika ukisema hivi !!!tena ongezea niwapumbavu akina nani ???Unajua nilikua naongea nini na gen? Usipende kuingilia yasiyokuhusu mkuu na pia mi nae ni mwanaume
Ewaaaa.Halaf uwe chuku chuku woiii![]()

Wacha kabisa yaaniAiseee umenikumbusha samaki mchemsho na pilipili alafu uwepo huo msosi
Na kweli maanaPoteza kukaa kimya ni jibu tosha
Wacha kabisa yaani
ugali wa muhogo uwa hautaki mboga yenye mbwembwe nyingi
Acha tu![]()
![]()
![]()
![]()
ugali wa muhogo uwa hautaki mboga yenye mbwembwe nyingi
