Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,431
- 2,436
Kwa hivyo hapo tuseme shilingi ya Uganda ndiyo yenye nguvu?Hakika mkuu, mnakuwa rahisi katika soko la dunia na ndicho hata China amekifanya kuzipiku nchi za Ulaya na Marekani hadi walikuwa wanamlalamikia.
Suala hapa ni sisi kuzalisha kwa wingi tunakuwa cheap katika soko la Afrika Mashariki. Mfano mzuri pia Mtanzania akiend Uganda atajikuta bidhaa za Uganda ni bei ndogo kushinda Tanzania. Hii pia inajidhihirisha kwenye change rate pesa yetu ipo juu kidogo kushinda Uganda