Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,174
- 45,895
Mimi naona hilo gepu ni la kihistoria,liliathiriwa na vita ya Tz na Uganda, sisi wakati tunakung'uta Waganda wenzetu Kenya walikuwa wanajenga uchumi.Vita vinaisha wakawa wameshatuacha hatua nyingi Sana.
hata kabla ya vita mwaka 1978 bado kenya ilikuwa mbali yetu kiuchumi,
kwa kifupi ni kwamba ujamaa ndio anguko letu, Nyerere alibana wafanya biashara kufanya biashara akaamini kwamba katika jamii sio vizuri watu kuwa matajiri huku wengine wakiwa masikini, nyerere ali restrict utajiri yani hata ukiwa na capital huruhusiwi kuanzisha biashara
ukisoma kitabu cha Mengi utayajua haya