Kwanini hela ya Kenya ina thamani zaidi, tena mbali kuliko ya Tanzania wakati tumebarikiwa kila kitu?

amesema mfano ukiwa na elfu moja hapa tz sawa na sh 50 ya kenya unaweza pata unga kilo moja, kenya sh 50 huwezi pata hata nusu kilo ya unga.
uchumi na thamani ya shiringi ni mambo yenye mkanganyiko sana,naona watu wanajadili kiholela hapa.

kwa nchi yenye idadi kubwa ya watu,pesa kuwa na thamani ndogo zaidi ni faida kwake kuliko kinyume chake,angalia yaliyotokea china na nchi nyingine kubwa.ndio maana haya mambo ya nguvu ya pesa na manunuzi inatokea kinyume chake sokoni sababu hiyo,kati ya ksh na tsh,maana uhitaji wa bidhaa za kuingia ni mkubwa sana halafu unakuta sarafu yake iko chini sana ambapo ni pigo kwa muingizaji.
 
Well said...

Mtanzania aliyekaa Kenya au Mkenya aliyekaa Tanzania anajua hili Wakenya wengi wanapenda kununua magari Kutokea Tanzania cause ni nafuu kuliko kununulia Kenya.

Nimetoa mfano Chakula cha 5000 ya TZ ni sawa na chakula cha 2500 KSH ambayo ni sawa na 50, 000 TZS kwa Kenya. Kwa maana Nyingine pesa ya Tanzania ina power kubwa Tanzania kuliko KSH ukiwa Kenya. sometimes currency ikiwa ndogo inafaida
 
Una uhakika? Ww kenya umeishi? Hivi unajua 20 ya kenya unapata soda na andazi juu?
Hujui kitu

Kenya Kwenye Hotel/Base za chini Ugali/wali ndio most expensive food Ugali na Kuku Kenya kwenye Base ni KSH 400 (TZS 8000) na maji machafu...

Wakenya wengi wanaishi kwa Chapati/Chapoo chapati 2 na Sukuma au maharage ni 160 KSH (3200) soda chupa ndogo ni 40 KES(800 TZS)

Maana yake hawafanyi vitu vingi na pesa yao ukilinganisha na pesa yetu
 
8000 kula msosi pekee mlo mmoja bongo ni anasa
 
Una uhakika? Ww kenya umeishi? Hivi unajua 20 ya kenya unapata soda na andazi juu?
acha ushamba nimesoma kenya naijua vzr sana hii nchi. soda ni sh 50 za kenya sawa na tsh 1000. nauli za matatu/daladala nauli inacheza kwenye 50 mpaka 100. niambia hapa nauli ya sh 2000 kama ipo.
 
Hujui kitu

Kenya Kwenye Hotel/Base za chini Ugali/wali ndio most expensive food Ugali na Kuku Kenya kwenye Base ni KSH 400 (TZS 8000) na maji machafu...

Wakenya wengi wanaishi kwa Chapati/Chapoo chapati 2 na Sukuma au maharage ni 160 KSH (3200) soda chupa ndogo ni 40 KES(800 TZS)

Maana yake hawafanyi vitu vingi na pesa yao ukilinganisha na pesa yetu
kuna mjinga mmoja eti anasema ksh 20 unapata soda na andazi. soda ksh 50 sawa na 1000 hapa
 
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?

Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao...

Tufanye nini ili tuwapite maana tuwe tunashinda kwa mazuri na moja ni hela yetu kuwa na thamani. Saa ingine huwaza lile tarajio la Tanzania kuwepo uchumi wa kati au ndio tumekwisha jaaliwa yaani haiwezi badilika?

Export economy ya Kenya iko by far stronger kuliko ya Tanzania. Kilimo cha kibiashara Kenya kiko very advanced kuliko Tanzania. Mfano Kahawa, chai na maua ni mazao yanayoziingizia Kenya fedha nyingi za kigeni. Hii inachangia sana fedha yao kuwa strong
 
uchumi na thamani ya shiringi ni mambo yenye mkanganyiko sana,naona watu wanajadili kiholela hapa.

kwa nchi yenye idadi kubwa ya watu,pesa kuwa na thamani ndogo zaidi ni faida kwake kuliko kinyume chake,angalia yaliyotokea china na nchi nyingine kubwa.ndio maana haya mambo ya nguvu ya pesa na manunuzi inatokea kinyume chake sokoni sababu hiyo,kati ya ksh na tsh,maana uhitaji wa bidhaa za kuingia ni mkubwa sana halafu unakuta sarafu yake iko chini sana ambapo ni pigo kwa muingizaji.
Mzee uditupe desa hapa, hatuwezi kulinganisha Tz na China. China wana devalue pesa yao kwa sababu wana export hivyo wafanya biashara watapata bidhaa kwa bei nafuu in exchange. Kwa sisi tunaotegemea import ni disaster. Fikilia shilingi yetu inavyoshuka dhidi ya dollar na unategemea ununue gari from japan kwa kutumia dollar? Hakuna faida ya kushusha thamani ya shilingi kwa nchi inayotegemea import kwenye kilakitu.
 
Kenya pia ni shamba la bibi la wazungu

Mzungu anaabudiwa sana kule aweza toka hata Marekani akawa mpiga debe au kondakta wa daladala bila shida akiwa bado raia wa Marekani na bila kuomba kibali cha kazi tofauti na sisi ona mpiga debe na kondakta huyu mzungu toka marekani

Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?

Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao...

Tufanye nini ili tuwapite maana tuwe tunashinda kwa mazuri na moja ni hela yetu kuwa na thamani. Saa ingine huwaza lile tarajio la Tanzania kuwepo uchumi wa kati au ndio tumekwisha jaaliwa yaani haiwezi badilika?
Hela yao ina thamani kubwa kwasabu Kenya inaagiza vitu vichache kutoka nje ya nchi yao na inauza zaidi nje bidhaa zao. Bahati mbaya bidhaa nyingi za Kenya ni za wawekezaji, wakenja wenyewe hawana hela mifukoni za kununulia bidhaa hizo.

Kama nchi inaagiza zaidi kuliko kupeleka thamani ya nchi yake itashuka.
 
Well said...

Mtanzania aliyekaa Kenya au Mkenya aliyekaa Tanzania anajua hili Wakenya wengi wanapenda kununua magari Kutokea Tanzania cause ni nafuu kuliko kununulia Kenya.

Nimetoa mfano Chakula cha 5000 ya TZ ni sawa na chakula cha 2500 KSH ambayo ni sawa na 50, 000 TZS kwa Kenya. Kwa maana Nyingine pesa ya Tanzania ina power kubwa Tanzania kuliko KSH ukiwa Kenya. sometimes currency ikiwa ndogo inafaida

Ulichokielezea hapa ni kitu muhimu sana katika Economics, kinaitwa Purchasing Power Parity (PPP). PPP ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, kama ulivyoeleza, kwasababu actual purchasing power ya pesa ya Tanzania ni kubwa kuliko nominal value yake. Actual purchasing power ni uwezo wa pesa kununua bidhaa na huduma wakati nominal value ni thamani yake ya kawaida mfano dhidi ya dola ya Marekani.

Hata hivyo PPP kubwa inaashiria kuwa nchi husika ni maskini kuliko nchi ambazo nominal value za currency zao ni kubwa zaidi ya actual purchasing power.
 
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?

Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao...

Tufanye nini ili tuwapite maana tuwe tunashinda kwa mazuri na moja ni hela yetu kuwa na thamani. Saa ingine huwaza lile tarajio la Tanzania kuwepo uchumi wa kati au ndio tumekwisha jaaliwa yaani haiwezi badilika
Ccm ndio tatizo
Taka taka kama mwigulu unnategemea nini?
 
Ulichokielezea hapa ni kitu muhimu sana katika Economics, kinaitwa Purchasing Power Parity (PPP). PPP ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, kama ulivyoeleza, kwasababu actual purchasing power ya pesa ya Tanzania ni kubwa kuliko nominal value yake. Actual purchasing power ni uwezo wa pesa kununua bidhaa na huduma wakati nominal value ni thamani yake ya kawaida mfano dhidi ya dola ya Marekani.

Hata hivyo PPP kubwa inaashiria kuwa nchi husika ni maskini kuliko nchi ambazo nominal value za currency zao ni kubwa zaidi ya actual purchasing power.
Nimekuelewa vizuri japo si mchumi.
Kwamba dola moja ya marekani inaweza kununua kilo moja ya sukari Tanzania,Kenya inanunua nusu kilo tu.
 
Demand and supply ya fedha inaathiriwa na sababu mbalimbali kama

-current account imbalance; nchi inaagiza bidhaa nyingi kuliko inavyouza nje

-FDI inflows; Wawekezaji kutoka nje.

-Demand of local currency by foreigners; tuna wageni kiasi gani wanaohitaji kubadili fedha ya kigeni ili apate fedha ya kitanzania. Hapa tunazungumzia watalii wa muda mfupi na wale wanaoishi nchini (permanent residents)
 
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?

Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao...

Tufanye nini ili tuwapite maana tuwe tunashinda kwa mazuri na moja ni hela yetu kuwa na thamani. Saa ingine huwaza lile tarajio la Tanzania kuwepo uchumi wa kati au ndio tumekwisha jaaliwa yaani haiwezi badilika?
Nafikiri kuna mambo mengi ila naomba utizame na hali ya watu wa kawaida,huduma za kijamii kama afya na elimu kwa watu wa kawaida.Pesa yetu inaweza kuwa chini lkn tukawa na ustawi mzuri wa watu wetu
 
Wataalamu wa uchumi wanaangalia import na export , wao wanauza zaidi nje kuliko kuagiza. Mf. Wembe wa kunyoa ni butu wa TZ, utausaje huo wembe nje? TZ ikijitahidi katika kuzalisha vitu imara viwandani, tutashindana na Kenya.
 
Back
Top Bottom