So far away
Member
- Jan 7, 2017
- 58
- 121
Aiseeee! Nikitu cha kushangaza saa. Kwamba Burundi nchi yenye mzozo wa vita kwa miaka na miaka. Tanzania tumekuwa wahidadhi wa warundi toka miaka ya 72 hadi leo eti leo hii inchi hii inauchumi mkubwa kuliko wa Tanzania? Wachumi naomba mtusaidie!
Hadi sasa Exchange rate kati ya shilling ya Tanzania na Faranga la Burundi iko ivi:
1 Tsh = 0.78 Bu Franc.
Maana yake nini ukiwa na Tsh laki moja( 100000) unapewa hela ya Burundi elfu 78 na ushee (78098.88) ya Mafaranga ya Burundi.
Kwa maaa nyingine. ukiwa na laki ( 100000) pesa ya Burundi basi utapewa Laki na 28 na ushee shillings za Tanzania.
Shilling imeshuka sana thamani. Wale watu qa kigoma na Tabora walozoea kwenda Bujumbura ( Burundi) kuchukiwa vitenge sasa imekuwa ngumu kwa exchange rate imekaza.
Pamoja na Hilo la Burundi; Jua msimamo wa thamani wa uchumi kwenye nchi za Africa Mashariki.
1. Kenya. (Kenyan Shillings)
1 ksh = 21.72 Tshs
2. Rwanda. ( Rwanda Franc)
1 Rwada Franc = 2.62 Tshs
3. Burundi. ( Burundi Franc)
1 Bu Franc = 1.28 Tsh
4. Tanzania. ( Tanzanian Shillings)
5. Uganda. ( Ugandan Shillings)
1 Uganda Shs = 0.62 Tsh.