Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Watoto wa siku hizi ukilala hata hakustui unashangaa asb imefika...enzi zetu ikifika mishale ya saa tano unaamshwa utoe dawa ya usingizi....kunako saa kumi na moja lukwili unaamshwa tena uondoe nuksi za usiku uanze siku vizuri.